Viongozi wa Afrika waige ukomavu wa Zelenesky aliyemvimbia Trump aliyetaka kukwapua 50% ya Madini yao

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Huko Duniani kote Vita ya Uchumi imepamba moto

Wamarekani, Bara la Ulaya, Waarabu, Uchina na hata Urusi wanagombania Rasilimali chache zilizobakia Africa

Tuzidi kuwaombea Mkuu wa Rasilimali za Tanganyika na Zanzibar mh David Kafulila wa PPP

Ahsanteni Sana 😃
 
Africa ina nini ambacho Russia, USA, China, Brazil, Indonesia na Australia hawana? From oil, gas, gold, timber, maji, misitu to madini mengine hizo nchi peke yake zinayo kuliko the whole of Africa combined. Kitu pekee Africa ilichonacho ni cheap labor basi. Aliyewaambia nyie ni matajiri sana aliwajaza upumbavu endelevu.
 
Huko Duniani kote Vita ya Uchumi imepamba moto

Wamarekani, Bara la Ulaya, Waarabu, Uchina na hata Urusi wanagombania Rasilimali chache zilizobakia Africa

Tuzidi kuwaombea Mkuu wa Rasilimali za Tanganyika na Zanzibar mh David Kafulila wa PPP

Ahsanteni Sana 😃
Ule ulikuwa mkutano wa utalii au kutafuta amani Congo? Maana tangua mkutano umefanywa pale Dar ndio kwanza waasi wa M23 wameanza kazi rasmi kwa kuteka miji kadhaa mashariki mwa Congo ikiwa ni pamoja na Bukavu na wamesema wanaelekea Kinshasa. Mkutano uliofanyika Tanzania ulikuwa na maana gani?
 
Kafulila analindaje mali za waarabu ambao wajomba zao ndio wasimamizi? Kwa taarifa yako huyo tumbili hajui hata idadi ya kurasa ktk mkataba wa dipiiweldi wala hana ajualo kuhusu loliondo, waarabu wanakuja wanachukua watakacho bila hata tumbili kisa na taarifa.
 
Ulifanikiwa kutukataza wenye boda na bajaj tusiingie mjini.
Ulifanikiwa kuponda kisawasawa hela ya mlipa kodi kwa kuwakirimu viongozi shitholes!
Uliweza kumpa chat BI KIZIWI!
Sasa je?!
 
Kafulila analindaje mali za waarabu ambao wajomba zao ndio wasimamizi? Kwa taarifa yako huyo tumbili hajui hata idadi ya kurasa ktk mkataba wa dipiiweldi wala hana ajualo kuhusu loliondo, waarabu wanakuja wanachukua watakacho bila hata tumbili kisa na taarifa.
Kafulila ndiye aliibua Ufisadi wa escrow akina Rugemalila wakatupwa ndani na Shujaa 🐼
 
Ule ulikuwa mkutano wa utalii au kutafuta amani Congo? Maana tangua mkutano umefanywa pale Dar ndio kwanza waasi wa M23 wameanza kazi rasmi kwa kuteka miji kadhaa mashariki mwa Congo ikiwa ni pamoja na Bukavu na wamesema wanaelekea Kinshasa. Mkutano uliofanyika Tanzania ulikuwa na maana gani?
Zilikuwa kampeni Kwa Raila Odinga 🐼
 
Huko Duniani kote Vita ya Uchumi imepamba moto

Wamarekani, Bara la Ulaya, Waarabu, Uchina na hata Urusi wanagombania Rasilimali chache zilizobakia Africa

Tuzidi kuwaombea Mkuu wa Rasilimali za Tanganyika na Zanzibar mh David Kafulila wa PPP

Ahsanteni Sana 😃
Yule tumbili? Tangu lini tumbili akawa na akili
 
Huko Duniani kote Vita ya Uchumi imepamba moto

Wamarekani, Bara la Ulaya, Waarabu, Uchina na hata Urusi wanagombania Rasilimali chache zilizobakia Africa

Tuzidi kuwaombea Mkuu wa Rasilimali za Tanganyika na Zanzibar mh David Kafulila wa PPP

Ahsanteni Sana 😃
Sio Kwa Africa hii ya CCM..
Omba omba pro max wamtunishie misuli nani?
 
Huko Duniani kote Vita ya Uchumi imepamba moto

Wamarekani, Bara la Ulaya, Waarabu, Uchina na hata Urusi wanagombania Rasilimali chache zilizobakia Africa

Tuzidi kuwaombea Mkuu wa Rasilimali za Tanganyika na Zanzibar mh David Kafulila wa PPP

Ahsanteni Sana 😃
Hv kumbe huna akili hivyo? Ur just empty headed.
 
Africa ina nini ambacho Russia, USA, China, Brazil, Indonesia na Australia hawana? From oil, gas, gold, timber, maji, misitu to madini mengine hizo nchi peke yake zinayo kuliko the whole of Africa combined. Kitu pekee Africa ilichonacho ni cheap labor basi. Msijidanganye. Aliyewaambia nyie ni matajiri sana aliwajaza ujinga endelevu.
Una hoja
 
Kafulila analindaje mali za waarabu ambao wajomba zao ndio wasimamizi? Kwa taarifa yako huyo tumbili hajui hata idadi ya kurasa ktk mkataba wa dipiiweldi wala hana ajualo kuhusu loliondo, waarabu wanakuja wanachukua watakacho bila hata tumbili kisa na taarifa.
Utumbo
 
Africa ina nini ambacho Russia, USA, China, Brazil, Indonesia na Australia hawana? From oil, gas, gold, timber, maji, misitu to madini mengine hizo nchi peke yake zinayo kuliko the whole of Africa combined. Kitu pekee Africa ilichonacho ni cheap labor basi. Msijidanganye. Aliyewaambia nyie ni matajiri sana aliwajaza ujinga endelevu.
Ujinga endelevu mkuu 🤣🤣🤣 hii karee tatizo letu ni kuwa tuko nyuma ya wakati mzungu ka base kwenye tech, ugunduzi na utafiti sisi bado tupo kwenye mali asili ambazo mteja, mtafiti na mgunduzi ni mzungu. Ni kama bado tumelala na hatujui kuwa tumelala tena doroo.
 
Huko Duniani kote Vita ya Uchumi imepamba moto

Wamarekani, Bara la Ulaya, Waarabu, Uchina na hata Urusi wanagombania Rasilimali chache zilizobakia Africa

Tuzidi kuwaombea Mkuu wa Rasilimali za Tanganyika na Zanzibar mh David Kafulila wa PPP

Ahsanteni Sana 😃
Uzuri Trump kaonyesha sura halisi za mabeberu wanapodeal na nchi masikini. Wengine hufucha hata mikataba hamuioni.
Unajua kuwa lile shirika la kiingereza lipo Geita toka 1961 likichimba madini, na wala hatujui serikali inapata asilimia ngapi. Tunalia na BARICK tu, je hao wengine?
 
Back
Top Bottom