johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huyu tapeli hana loloteHuko Duniani kote Vita ya Uchumi imepamba moto
Wamarekani, Bara la Ulaya, Waarabu, Uchina na hata Urusi wanagombania Rasilimali chache zilizobakia Africa
Tuzidi kuwaombea Mkuu wa Rasilimali za Tanganyika na Zanzibar mh David Kafulila wa PPP
Ahsanteni Sana π
Wamarekani, Bara la Ulaya, Waarabu, Uchina na hata Urusi wanagombania Rasilimali chache zilizobakia Africa
Ule ulikuwa mkutano wa utalii au kutafuta amani Congo? Maana tangua mkutano umefanywa pale Dar ndio kwanza waasi wa M23 wameanza kazi rasmi kwa kuteka miji kadhaa mashariki mwa Congo ikiwa ni pamoja na Bukavu na wamesema wanaelekea Kinshasa. Mkutano uliofanyika Tanzania ulikuwa na maana gani?Huko Duniani kote Vita ya Uchumi imepamba moto
Wamarekani, Bara la Ulaya, Waarabu, Uchina na hata Urusi wanagombania Rasilimali chache zilizobakia Africa
Tuzidi kuwaombea Mkuu wa Rasilimali za Tanganyika na Zanzibar mh David Kafulila wa PPP
Ahsanteni Sana π
Ulifanikiwa kutukataza wenye boda na bajaj tusiingie mjini.Ule ulikuwa mkutano wa utalii au kutafuta amani Congo? Maana tangua mkutano umefanywa pale Dar ndio kwanza waasi wa M23 wameanza kazi rasmi kwa kuteka miji kadhaa mashariki mwa Congo ikiwa ni pamoja na Bukavu na wamesema wanaelekea Kinshasa. Mkutano uliofanyika Tanzania ulikuwa na maana gani?
Kafulila ndiye aliibua Ufisadi wa escrow akina Rugemalila wakatupwa ndani na Shujaa πΌKafulila analindaje mali za waarabu ambao wajomba zao ndio wasimamizi? Kwa taarifa yako huyo tumbili hajui hata idadi ya kurasa ktk mkataba wa dipiiweldi wala hana ajualo kuhusu loliondo, waarabu wanakuja wanachukua watakacho bila hata tumbili kisa na taarifa.
Zilikuwa kampeni Kwa Raila Odinga πΌUle ulikuwa mkutano wa utalii au kutafuta amani Congo? Maana tangua mkutano umefanywa pale Dar ndio kwanza waasi wa M23 wameanza kazi rasmi kwa kuteka miji kadhaa mashariki mwa Congo ikiwa ni pamoja na Bukavu na wamesema wanaelekea Kinshasa. Mkutano uliofanyika Tanzania ulikuwa na maana gani?
Yule tumbili? Tangu lini tumbili akawa na akiliHuko Duniani kote Vita ya Uchumi imepamba moto
Wamarekani, Bara la Ulaya, Waarabu, Uchina na hata Urusi wanagombania Rasilimali chache zilizobakia Africa
Tuzidi kuwaombea Mkuu wa Rasilimali za Tanganyika na Zanzibar mh David Kafulila wa PPP
Ahsanteni Sana π
Sio Kwa Africa hii ya CCM..Huko Duniani kote Vita ya Uchumi imepamba moto
Wamarekani, Bara la Ulaya, Waarabu, Uchina na hata Urusi wanagombania Rasilimali chache zilizobakia Africa
Tuzidi kuwaombea Mkuu wa Rasilimali za Tanganyika na Zanzibar mh David Kafulila wa PPP
Ahsanteni Sana π
Inawezekana Mbona Zelenesky ameweza πSio Kwa Africa hii ya CCM..
Omba omba pro max wamtunishie misuli nani?
Hv kumbe huna akili hivyo? Ur just empty headed.Huko Duniani kote Vita ya Uchumi imepamba moto
Wamarekani, Bara la Ulaya, Waarabu, Uchina na hata Urusi wanagombania Rasilimali chache zilizobakia Africa
Tuzidi kuwaombea Mkuu wa Rasilimali za Tanganyika na Zanzibar mh David Kafulila wa PPP
Ahsanteni Sana π
Una hojaAfrica ina nini ambacho Russia, USA, China, Brazil, Indonesia na Australia hawana? From oil, gas, gold, timber, maji, misitu to madini mengine hizo nchi peke yake zinayo kuliko the whole of Africa combined. Kitu pekee Africa ilichonacho ni cheap labor basi. Msijidanganye. Aliyewaambia nyie ni matajiri sana aliwajaza ujinga endelevu.
UtumboKafulila analindaje mali za waarabu ambao wajomba zao ndio wasimamizi? Kwa taarifa yako huyo tumbili hajui hata idadi ya kurasa ktk mkataba wa dipiiweldi wala hana ajualo kuhusu loliondo, waarabu wanakuja wanachukua watakacho bila hata tumbili kisa na taarifa.
Umefura ghafla πππHv kumbe huna akili hivyo? Ur just empty headed.
Inawezekana Mbona Zelenesky ameweza π
Ujinga endelevu mkuu π€£π€£π€£ hii karee tatizo letu ni kuwa tuko nyuma ya wakati mzungu ka base kwenye tech, ugunduzi na utafiti sisi bado tupo kwenye mali asili ambazo mteja, mtafiti na mgunduzi ni mzungu. Ni kama bado tumelala na hatujui kuwa tumelala tena doroo.Africa ina nini ambacho Russia, USA, China, Brazil, Indonesia na Australia hawana? From oil, gas, gold, timber, maji, misitu to madini mengine hizo nchi peke yake zinayo kuliko the whole of Africa combined. Kitu pekee Africa ilichonacho ni cheap labor basi. Msijidanganye. Aliyewaambia nyie ni matajiri sana aliwajaza ujinga endelevu.
Uzuri Trump kaonyesha sura halisi za mabeberu wanapodeal na nchi masikini. Wengine hufucha hata mikataba hamuioni.Huko Duniani kote Vita ya Uchumi imepamba moto