Viongozi wa Afrika wanajisahau sana

Viongozi wa Afrika wanajisahau sana

Ikimba

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2019
Posts
362
Reaction score
405
Viongozi wa Afrika au watu wenye madaraka ya kuongoza au kusimamia Wananchi wanajisahau sana, lakini nawakumbusha jinai haiozi.

Kama watu mtakuwa na kumbukumbu ya Arbeto Fujimori (Peru) mtanielewa. Wenye dhamana ya uongozi waona Watu hawa tunaweza kuwafanyia chochote lakini ipo siku hata kama itachelewa.

Mbeleni naona hatari kubwa.
 
Tuupe muda nafasi ya kuamua lakini kuna watu watalia na kusaga meno nchi itakuwa chungu watakimbizana kama panya ili kuitoroka.

#Ni suala la muda tu
 
Viongozi wa Afrika au watu wenye madaraka ya kuongoza au kusimamia Wananchi wanajisahau sana, lakini nawakumbusha jinai haiozi.

Kama watu mtakuwa na kumbukumbu ya Arbeto Fujimori (Peru) mtanielewa. Wenye dhamana ya uongozi waona Watu hawa tunaweza kuwafanyia chochote lakini ipo siku hata kama itachelewa.

Mbeleni naona hatari kubwa.
Samia amekuja kuwa huzuni kwa watanzania.
 
Back
Top Bottom