Kila jambo na wakati wake mkuu. Wakati unapofika huwezi kuamini kama yule mpole amebadilika kuwa mwingine.kwa watanganyika hamna kitu labda wazime mwenge
bado sijaona kizazi chenye ujasiriKila jambo na wakati wake mkuu. Wakati unapofika huwezi kuamini kama yule mpole amebadilika kuwa mwingine.
Hehehekwa watanganyika hamna kitu labda wazime mwenge
Ndio madaraka gani hayo yakuonga?Viongozi wa Africa au watu wenye madaraka yakuonga
Samia amekuja kuwa huzuni kwa watanzania.Viongozi wa Afrika au watu wenye madaraka ya kuongoza au kusimamia Wananchi wanajisahau sana, lakini nawakumbusha jinai haiozi.
Kama watu mtakuwa na kumbukumbu ya Arbeto Fujimori (Peru) mtanielewa. Wenye dhamana ya uongozi waona Watu hawa tunaweza kuwafanyia chochote lakini ipo siku hata kama itachelewa.
Mbeleni naona hatari kubwa.