Viongozi wa Azam sikilizeni ushauri wangu kama mnataka kweli kuiletea heshima nchi na Bakhresa mwenyewe

Naunga mkono hoja.
 
Hii timu haiwezi kufanya lolote kwa kuwa viongozi wake ni mashabiki wa mapacha wa kariakoo,angeleta wageni hapo uswahili ungeisha wote
 
Unitaka timu iwe na Mashabiki ni lazima ukubali hisia za Mashabiki.

Mashabiki hawafanyi kazi ya kushangilia tu, Kuna kuzomea.

Na Azam haiko tayari kukosolewa Wala kuzomewa.

Mwaka jana wakati wa walikuwa wanaruhusu Mashabiki kuingia bure uwanjani ukiwa na jezi ya Azam.

Mashabiki walivyoanza kuwazomea wakatimuliwa, utaratibu wa viingilio ukarudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…