Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wameshitakiwa kwa kuimba wimbo wa Taifa huku wakipandisha bendera ya ChademaWeka wazi tuhuma zao siyo kuumauma maneno hatukuelewi tutajadiri vipi sasa wameonewaje?
Ya kutakatisha wimbo wa TaifaWamebambikiziwa kesi gani?
anafuatiliwa na chama kwa 100%Kamanda Mdude huwa mnaenda kumuona?
Tunajua CCM inapumua kwa Oksijeni ya Polisi! Lakini hapo hao vijana nao si wamejitakia? Huoni kama kuimba wimbo wa Taifa mkipandisha bendera ya chama ni kosa? Tuache umazwazwa, hapo Nusrat amechemka!Wameshitakiwa kwa kuimba wimbo wa Taifa huku wakipandisha bendera ya Chadema
katiba ipi uliyonukuu kifungu chakeTunajua CCM inapumua kwa Oksijeni ya Polisi! Lakini hapo hao vijana nao si wamejitakia? Huoni kama kuimba wimbo wa Taifa mkipandisha bendera ya chama ni kosa? Tuache umazwazwa, hapo Nusrat amechemka!
Hujui kitu weweyaani chadema wanatakaga kiki zingine za kijinga sana sasa hata waliona wapi unapandisha bendera ya chama na kuimba wimbo wa taifa wacha wateseke tu ujinga mwingine wakujitakia
Kasome vizuri sheria ya national emblems. Ni kosa kubadili au kudhihaki wimbo wa Taifa. Hicho walichokifanya vijana wetu ni kudhihaki wimbo wa Taifa maana haijaruhusiwa kwamba unapopandisha bendera ya chama uimbe wimbo wa Taifa, tena chama chenyewe hakijakamata dola!!katiba ipi uliyonukuu kifungu chake
Uliulizwa swali hapo juu endapo itatokea Mh. Jaji akaumwa mtachukua hatua gani? Sasa yako wapi? Jamaa kajiuguza ili kuendelea kuwakomoa hao vijana, namhurumia sana Nusrat jamaa wasije wakajishindia tu!!
Shetani hajawahi kumshinda MunguUliulizwa swali hapo juu endapo itatokea Mh. Jaji akaumwa mtachukua hatua gani? Sasa yako wapi? Jamaa kajiuguza ili kuendelea kuwakomoa hao vijana, namhurumia sana Nusrat jamaa wasije wakajishindia tu!!
Wakiunga mkono juhudi hizo tuhuma zinaondoka!!! Na ukihama huko utajua sababuWeka wazi tuhuma zao siyo kuumauma maneno hatukuelewi tutajadiri vipi sasa wameonewaje?