Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Wakuu mambo yameanza kuchangamka sasa. Unaweza kusema walichokuwa wanatarajia wamekikosa kabisa!
===============
Baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM tawi la SOKONI katika mtaa wa MGUMIA kata ya KIDONGO CHEKUNDU Manispaa ya TABORA wameandamana kupinga kushindwa kwa mgombea wa chama hicho.
Wakizungumza na Cg Digital, Mwenyekiti wa CCM tawi la SOKONI JOHN SAIMON amesema hawajaridhishwa na matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa katika mtaa huo.
Naye Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama hicho-UVCCM-tawi la SOKONI TAUSI MALIFEDHA amesema kuwa kiongozi aliyetangazwa kushinda hastahili kushika wadhifa huo.
Soma Pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Tabora 2024
Kwa upande wake mgombea aliyetangazwa kushinda kupitia chama cha wananchi -CUF- aliyefahamika moja la KAMBI BARUAN amewaahidi kuwahudumia wananchi katika hali yoyote.
Leo watanzania waliojiandikisha kwenye daftari la makazi wamepiga kura kuchagua wenyeviti wa serikali za mitaa,vijiji na viongoji.