Tetesi: Viongozi wa CCM Wilaya ya Mbinga Waogopa Misimamo ya Katibu(W) dhidi ya rushwa na ubadhirifu. Wahaha ahamishwe

Surveillance

Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
25
Reaction score
22
Wiki iliyopita CCM makao makuu ilifanya mabadiliko ya Katibu wa CCM wilaya Mbinga, kwa kumuhamisha aliyekuwa Katibu (W) Bi. Zainabu Chinoa na kumleta Bi.Domino Soko.

Taarifa za uchunguzi zilizopatikana kutoka kwenye vyanzo vya uhakika zinaonesha baadhi ya viongozi wakuu wa CCM wilaya hawajaridhishwa na ujio wa Katibu huyu Mpya anayetokea Morogoro (V).

Taarifa zinabainisha kwamba Bi. Domino amewahi kushika nafasi ya Katibu Jumuiya ya Wazazi, hivyo misimamo yake katika kupinga vitendo vya rushwa na ubadhirifu vinawafanya wakose amani.

Bi. Domino anakuja kwa mara nyingine Mbinga katika kipindi ambacho baadhi ya viongozi wakuu wa wilaya wakiwa wamechafuka kwa vitendo vya kuomba rushwa za aina mbalimbali kutoka kwa baadhi ya watia nia ya kugombea nafasi za Udiwani na Ubunge 2020.

Kuna tetesi baadhi ya wagombea wametoa rushwa kubwa kubwa ambazo kwa kuja katibu mwenye misimamo mikali kama Bi. Domino, kunafanya hata wale watia nia waliowekeza kwa viongozi wapoteze matumaini.

Kiukweli sisi vijana wa Mbinga na watu wote wenye mapenzi mema na Mbinga tunamkaribisha katibu Domino na tunamuunga mkono.

Tumepata tetesi viongozi wakuu wa Mbinga wakishirikiana mtandao wao wa ufisadi kutoka CCM Mkoa wanafanya mikakati ya kumuhamisha Bi. Domino kwa maslahi ya wala rushwa na wabadhirifu

Ikitokea Katibu wetu amehamishwa na tukathibitisha kuwa ameondolewa kwa maslahi ya viongozi wala rushwa na wabadhirifu tutaweka CV ya kila kiongozi peupe ili Taifa liwajue maadui wa maendeleo na ustawi wa Mbinga.

Karibu Katibu wetu Bi. Domino, wanyooshe mafisadi.
 
Waambie wasihamishwe wakubali kushtakiwa lakini waombe wapelekwe gereza la Butimba, kule tutawapelekea wali ng'ombe na baada ya muda watakuwa huru tu..
 
cc; Katibu Mkuu CCM Taifa.
Watu wa huko malimali mnatuchosha sana aisee.Hamuishi vituko.
 
Yaani kati vitu ambavyo CCM mnakosea ni kuficha uovu wa watu wenu. We kama kuna watu wala rushwa na mafisadi ndani ya chama kwanini hauwaweki hapa na ufisadi wao?? Msisubir mpaka Ndugu Magufuli aje ndo aibue ufisadi huko Mbinga. Weka hapa ili wajifunze, ukiweza weka na vielelezo namna walivyopiga ili chama chenu kisafishike na kizidi kupendwa. UVCCM msaidieni mwenyekiti wenu tafadhali.
 
Back
Top Bottom