CHADEMA JIMBO LA KIBAMBA DSM WATOA TAKWIMU.
Pongezi CHADEMA Kibamba jijini Dar es Salaam Tanzania kuwabana chama kongwe dola kwa kutoa
Kwembe vituo 19
Kinganzi A 1886
Kiganzi B 3,400
Kwembe 2964
Lunguruni 2773
Mlonganzila 1772
Mpakani 2236
Msakuzi 1,834
Ngeteni
Kibamba
Gogoni 2,310
Hondigo 2637
Kinamba 3238
Kibwegere
Kiluvia 2105
Salanga Vituo 32 :
Kimara B 2,645
Kingongo 2,658
Matangini 4,221
Michungwani 2261
Mji Mpya 3843
Salanga 3960
Stop Over 2464
Ukombozi 1,337
Upendo 2437
Msigani 3947
Yusufu 2411
Malamba mawili 4379
Msingwa 3068
Temboni 1,751
Mbezi
Luis 3558
Makabe 3365
Mbezi Luis Centre 3788
Mpigi Magohe 3077
Msakuzi 3493
Msakuzi Kusini 2087
Mshikamano 3795
Msumi 4312
Tegeta 4430
Kunguru 2705
Muungano 2489
Matosa 3023
Kulangwa 2124
Takwimu za mitaa 40 kati ya 44, CHADEMA tumeamua kutangaza takwimu hizi ili zisiwe tofauti na takwimu za TAMISEMI.
Idadi hii tumepata kutoka kwa wasimamizi wasaidizi tulizopewa kupitia mawakala wetu. Na kesho tunategemea takwimu zitakazobandikwa katika kuta za vituo zitafanana na takwimu tulizoziona katika madaftari ya wapiga kura jimbo la Kibamba Dar es Salaam