Viongozi wa CHADEMA kutikisaa Kigoma wiki hii.

Hata sisi wa Katavi na viunga vya jirani tunajiandaa kupokea ungeni huu muhimu sana katika mustakabali wa taifa letu hasa hili suala la Katiba mpya....GOD WILL BE ALWAYS ON OUR SIDE, WE SHALL LASTLY WIN THE BETLE....
 
Wakifika Kalinzi, waambie washuke pale chini Matyazo na Mkabogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…