Viongozi wa CHADEMA mliwapokea Lowassa na Sumaye kwa ridhaa ya nani, na kwa manufaa ya nani?

Unapokua vitani nia ni kumshinda adui hata ikibidi kupitia kwa shangazi yake. Haya ni mawazo yangu tu. Sijibii mtu wala chama
 
hapo umenena

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwani manufaa ya lowasa haukuyaona?
 
Bonde la Baraka,

Dr. Slaa aliibuka kijogoo wakati ule. Ushuhuda tunaoona leo hii Dr Slaa aliuona miaka mingi iliyopita. Kwa uthabiti wake, ikasemwa mkewe Bi. Josephine Mshumbuzi anampotosha Dr. Slaa.
Dr Slaa naye alitoka CCM baada ya kukatwa na kujiunga CDM na kupewa nafasi na akashinda!Leo karudi CCM!
So kama wanaohama CCM wangekuwa wanatengwa basi Dr Slaa pia aingekuwa hapo alipo bila CDM!
 
Bonde la Baraka,

Dr. Slaa aliibuka kijogoo wakati ule. Ushuhuda tunaoona leo hii Dr Slaa aliuona miaka mingi iliyopita. Kwa uthabiti wake, ikasemwa mkewe Bi. Josephine Mshumbuzi anampotosha Dr. Slaa.

Hakuna lolote hata slaaa leo angekuwa chadema kwa siasa hizi za awamu hii angekuwa ni mpole tu, kwa miaka yote ambayo alikuwa anagombea urais alikuwa na hoja gani zaid za ufisadi?

Sasa leo hata kama ufisadi upo angesemea wapi?
 
Si mnao huko,waambieni waseme wametoa sh ngapi!
Propaganda mshafeli,mnaleta story xa kwenye kahawa kwenye jukwaa la watu makini!
Nchii hii inahitaji uboreshwaji wa elimu kuliko hata hayo mamiundombinu maana iatakuwa kazi bure!Wajinga bado mpo wengi,tumbo kwanza kichwa baadae!
 
Hawahitaji kutoa pesa kurudi nyumbani kwao! Hamuwasikii wrnyewe wakisrma wanarudi nyumbani?
 
Hawahitaji kutoa pesa kurudi nyumbani kwao! Hamuwasikii wrnyewe wakisrma wanarudi nyumbani?
Niliyemquote alisema walitoa pesa kuingia CDM,ndio nimemwambia awaulize walitoa pesa kiasi gani na kwa nani?Uwe unasoma na kuelewa!

By the way,Kina Katambi,Mtolea,Anna Mgwira,Kafulila,Machali,Mtatiro na wengineo nao wamerudi nyumbani?
Mbona wamefika tu huko na wamepewa vyeo huku wafia chama mkiendelea kusugua bench?
 
Dr Slaa naye alitoka CCM baada ya kukatwa na kujiunga CDM na kupewa nafasi na akashinda!Leo karudi CCM!
So kama wanaohama CCM wangekuwa wanatengwa basi Dr Slaa pia aingekuwa hapo alipo bila CDM!
Ukweli ni kwamba CHADEMA ni opportunistic na inajipatia uhai wake kupitia makada wanaojitoa ccm kwa sababu za mitifuano. Chadema haiwrzi kusimama yenyewe kwasababu hakuna viongozi makini.
 
Hao wabunge walitangazwa na tume ambayo sio huru au?
Kwa nguvu ya wananchi ilibidi watangazww tu!
Halafu kwenye level ya ubunge,hawachezi rafu sana maana kupoteza jimbo sio issue sana kama kwenye urais!Kama Zanzibar ingekuwa jimbo basi maalimu angetangazwa mshindi maana alishinda mchana kweupe Jecha akafanya yake!
Hakuna tume huru,muulize Kafulila alivyopokonywa tonge,kura ukijumlisha alikuwa kashinda yeye yule mama mgawa papuchi akatangazwa mshindi!Akaambaa na kesi mahakamani,walivyoona inakuwa so,wakamwambia aunge mkono juhudi na atapewa ulaji kwa namna nyingine na aachane na ubunge!
Njaa ikaishinda akili ujanja,akachamgamkia fursa!
 
Ukweli ni kwamba CHADEMA ni opportunistic na inajipatia uhai wake kupitia makada wanaojitoa ccm kwa sababu za mitifuano. Chadema haiwrzi kusimama yenyewe kwasababu hakuna viongozi makini.
Wewe utakuwa umezaliwa juzi na uchaguzi wa 2015 ndio wa kwanza kwako kuushuhudia ukiwa na akili timamu!
Watoto ambao bado mnanuka shombo,ulizeni wakubwa zenu tuwaelekeze,sio mnapayuka tu msiyoyajua!
 
Sentensi moja inaweza kuwa na maana zaidi ya moja. Lakini mwenye kuandika ndiye anayejua maana iliyokusudiwa.

Nimesema wenyenyewe (Mwambe, Lowassa na Sumaye ) ndio waliosema wamerudi nyumbani kwao na sio akina Mghwira na Katambi uliowataja wewe! Au unabisha kwamba hawajasema hivyo?

Hata hivyo suala hapa ni wanachadema kupenda hela; yaani wako tayari kufanya lolote kwa ajili ya pesa. Wote uliowataja wameahamia ccm na kuisaliti vyama vyao kwa ajili ya vyeo na pesa. Au unabisha?
 
Kama ni hivyo kwanini Sumaye aliambiwa sumu haionjwi kwa kulamba? Kwanini Mwambe aliangushwa vibaya kwenye uchaguzi wa ndani? Hivi sio kwamba Sumaye na Mwambe walikatiliwa ndani ya CHADEMA au bado walikuwa wanahitajika kama wanachama?
Sasa kama umegombea ukakataliwa na wanachama,unataka nini tena?Si ukajipange ili safari ijayo ujaribu tena?Kwani ni lazima wao wakigombea washinde?Na Je,ukishindwa ndio unakuwa umefukuzwa?Mbona hawajasema kama wamefukuzwa ila wameamua kuhama wenyewe?

Waambieni uenyekiti sio lazima CDM,huko walikohamia wajaribu kuchukua fomu 2020 wagombee na JPM,kama hatujawaokota kwenye viroba!
 
Jibu swali; je walikuwa bado wanahitajika ndani ya CDM kama wanachama eti kwavile hakuna chama kinachokataa wanachama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…