Viongozi wa CHADEMA mliwapokea Lowassa na Sumaye kwa ridhaa ya nani, na kwa manufaa ya nani?

Kila ambae yuko upinzani alikuwa ccm,
Reference ya upinzani inaanzia mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi ulipoanza. Yeyote aliyebaki ccm baada ya mwaka huo ndo mwana ccm halisi na ambaye alijiunga na upinzani ndo mpinzani halisi.

Kwa kigezo hiki utagundua wanachadema zaidi 95% ni ccm. Lakini vyama kama NCCR na CUF vilipoteza makada wao kutokana na njema hila na ulaghai wa ccm wakati CDM ilitanuka kutokana na kupokea mamluki toka CCM.
 
Haya yote ni impact ya waliohamia kwenu au impact ya muunganiko mliouita Ukawa?

Tuache kujitia upofu jaman, ukawa bila nguvu ya lowasa kuwa chadema it was nothing huo ndio ukweli

Yule mzee apewe credit zake, hakuna mwananchi Tanzania anapiga kura kwa sera za chama, wengi wanapiga kura kwa uoga wa future yao au kwa ajili ya mgombea tu
 
Kama hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That the mistake we human make, you didn't see anything from CHADEMA OR MBOWE perspective ?????? MLETA UZI JIBU
 
Kuna uwiano upi kati ya upimzani na Ccm mkuu,?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi
Mimi hata kwenda kupiga kura 2015 nilighairi kwasababu ya mambo ya hovyo kama haya
Mimi niliona nikighairi ntakuwa nimewapa ushindi CHADEMA. nilipiga kura kila nafasi ya mgombea niliwapa CCM. Sijawah jutia.
Sitaki hata kuwasikia hawa wahuni wakisiasa. Tulipambana kujenga chama mwisho wasiku wakatuona wote wapuuzi. Eti gia ya angani?!
 
😀😆hawa jamaa walituingiza king wanaharakati wao kibao
 
Miaka mitano sasa bado mnajadili haya?
 
Huo mtaji mbona Leo umeshindwa. Wapumbabu tu watawaza kama wewe.hakuwa na mtaji wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…