Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Viongozi waliokulia CCM kila siku wanatumbuliwa kwa utendaji mbovu. Viongozi wote waliokua chadema na vyama vingine wakanunuliwa na kujiunga na CcM hakuna anayetumbuliwa bali wanapata uhamisho wa vituo vya kazi.
Je chadema inaandaa watu waadilifu na wachapa kazi kuliko CCM? Kama ndiyo kwanini CCM wasijifunze au kupeleka wanafunzi kwenye vyuo vya CHADEMA wakajifunze kuliko kupokea kila anayehitimu?
Je chadema inaandaa watu waadilifu na wachapa kazi kuliko CCM? Kama ndiyo kwanini CCM wasijifunze au kupeleka wanafunzi kwenye vyuo vya CHADEMA wakajifunze kuliko kupokea kila anayehitimu?