Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Msigwa anawekwa wapi?The can not happen,
1. Ni watulivu na watiifu kupita kiasi
2. Waliongwa wanaweza sema ukweli
3. Ni vichwa sana baadhi Yao wanajua mipaka Yao
Britanicca
We ni mchaga au umeolewa uchagani?Mbona Heche soon nae ana graduate kazi yake imeisha huko Kwenye pagale la Mchaga
Chadema ni kijiwe Cha Pandikizi wa Serikali
No sooner unatolewa kwenye payroll ya Lumumba buku 7,umepauka mno..jombaa,.sasa unatamani miujiza itokee...kama huu..etiMbona Heche soon nae ana graduate kazi yake imeisha huko Kwenye pagale la Mchaga
Chadema ni kijiwe Cha Pandikizi wa Serikali
Nyie ndio mmevamia JfNo sooner unatolewa kwenye payroll ya Lumumba buku 7,umepauka mno..jombaa,.sasa unatamani miujiza itokee...kama huu..eti