Viongozi wa CHADEMA wanajifunza nini kutoka kwa viongozi wa HAMAS?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288

MISUKO SUKO WANAYOPATA HAMAS NA MISIMAMO KATIKA KUPIGANIA HAKI ZAO NA NCHI YAO KUTOKA MADH-LUMA

Tangu Ismail Haniyeh, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas, alipouawa mjini Tehran, mji mkuu wa Iran, baada ya kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa rais mpya wa Iran Masoud Pezeshkian, imekuwa ikisubiriwa kujua ni nani atakayemrithi.

Haniyeh aliongoza vuguvugu hilo katika wakati mgumu katika suala la vita vinavyoendelea na Israel.

Afisa anayefuata atakuwa mkuu wa Ofisi ya Kisiasa, ambayo ni chombo cha utendaji cha Hamas, ilioanzishwa mwaka 1989, kama alivyosema Muhbib Suleiman Ahmed Al-Nawati katika kitabu chake "Hamas kutoka Ndani" kilichochapishwa mwaka 2004.

Sheikh Ahmed Yassin aliendelea kuwa kiongozi au "kamanda mkuu wa Hamas" wakati wa kifungo chake na baada ya kuachiliwa, hadi alipouawa mwaka 2004, wakati Abdul Aziz Al-Rantisi alipochukua nafasi ya mkuu wa jeshi la Hamas kabla naye kuuawa mwaka huo huo.

Uchaguzi wa 2021 ulishuhudia Haniyeh akihifadhi nafasi yake kama mkuu wa tawi la kisiasa la Hamas, huku Saleh al-Arouri akichaguliwa naye Yahya Sinwar akiendelea kuongoza harakati za wapiganaji hao katika Ukanda wa Gaza.

Hakuna habari nyingi kuhusu muundo wa shirika hilo, kwa maana ya usiri unaozunguka shughuli zao na shughuli za viongozi wao, mbali na changamoto ngumu zinazokabili uratibu wa wanachama wa Hamas ndani, nje na magerezani.

Wajumbe wa Baraza la Shura, ndani na nje, wanapiga kura kuchagua wajumbe wa Ofisi ya Siasa na kamati yao katika uchaguzi wenye masharti makali na uliojaa siri unafanyika kila baada ya miaka minne, kwa kuzingatia tishio la usalama linalowakabili viongozi wa vuguvugu hilo.

Kwa hivyo swali linalostahiki kuulizwa ni: Ni nani atakayeiongoza Hamas katika siku zijazo, na ni nani ataweza kuokoa harakati na kupunguza mzigo wakati huu mgumu? Je, vuguvugu hilo litatangaza jina la mkuu mpya wa ofisi ya kisiasa, au litaficha kwa kuhofia kulengwa?

Ripoti kadhaa zinasema kuwa Khaled Meshaal, ambaye alikuwa mkuu wa ofisi ya kisiasa ya vuguvugu hilo kwa takriban miaka ishirini (1996-2017), ndiye anayeelekea kuchukua wadhifa huo.

Meshaal ameishi nje ya Gaza tangu 1976 na kwa sasa anaishi Qatar. Alichaguliwa kuwa mkuu wa ofisi ya kisiasa ya vuguvugu hilo baada ya kuuawa kwa kiongozi mwanzilishi wa kundi hilo Sheikh Ahmed Yassin.

Khaled Meshaal alinusurika jaribio la mauaji mwaka 1997, lililotekelezwa na maajenti wa Mossad huko Jordan. Meshaal alikuwa raia wa Jordan, na alidungwa sindano ya sumu wakati akitembea kwenye moja ya mitaa ya mji mkuu wa Amman.

Mamlaka ya Jordan iligundua jaribio la mauaji na kuwakamata maafisa wawili wa Mossad waliohusika.

Marehemu Mfalme wa Jordan, Hussein Bin Talal, alimwomba Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kutoa dawa ya sumu ambayo alidungwaKhaled Meshaal.

Rais wa Marekani Bill Clinton aliingilia kati kuweka shinikizo kwa Israel, jambo ambalo hatimaye lilipelekea dawa kutumika kumuokoa Meshaal.

Mchambuzi wa masuala ya kisiasa wa Palestina, Fatshi Sabah, ambaye ni mtaalamu wa harakati hiyo, alisema Khalid Meshaal ndiye mtu mwenye uwezo mkubwa zaidi kuchukua jukumu hilo kutokana na uzoefu wake wa muda mrefu katika kusimamia Hamas, pamoja na uhusiano wake mkubwa na ngazi za Waarabu na Uislamu, "na kwa sababu Hamas inahitaji kubwa katika hatua hii muhimu ya kuweza kupinga shambulio la Israel linalotaka kutokomeza harakati zao huko Gaza".

Sabah aliongeza kuwa Meshaal anaonekana kama mmoja wa "mrengo wa wastani" wa Hamas na anatumia "hekima."

Dkt. Shafiq al-Taluli, mwandishi wa Kipalestina anayefuatilia habari na masuala ya harakati hiyo anakubaliana na wazo hilo na kubainisha kuwa Meshaal ana uhusiano mzuri na Waarabu, “wakati akiwa mkuu wa harakati hiyo, aliepuka kabisa mzozo." Kwa hiyo, yeye ndiye "mwenye uwezo zaidi wa kuboresha hali tena, na kuboresha uhusiano kati ya Hamas na nchi za Kiarabu."

Pia kuna jambo lingine muhimu la kuzingatia, ambalo ni uwepo wake nje ya nchi, kwani ni desturi ya kuchagua kiongozi wa ofisi ya kisiasa "kupendelea wale walio nje ya maeneo ya Palestina, kwa sababu za usalama".
Kuna majina mengine kama vile Khalil Al-Haya na Musa Abu Marzouq yanayotajwa kuchukua mahala pake Haniyeh.

Musa Abu Marzuq alikuwa mwanzilishi wa ofisi ya kisiasa ya vuguvugu hilo, na alikuwa mtu wa kwanza kushikilia nafasi hii kwa uwazi kati ya 1992-1996.

Ofisi ya kisiasa ya Hamas ina wanachama 15.

Abu Marzouq ni mtu mashuhuri katika Hamas na afisa mkuu katika ofisi ya kisiasa ya harakati hiyo.

Abu Marzouq ana mtazamo wa kimantiki wa mazungumzo, akiunga mkono "kusitishwa kwa mapigano kwa muda mrefu" na Israeli na kukubali mipaka ya vita vya Waarabu na Israeli vya 1967 kwenye mipaka ya taifa la Palestina hali ambayo imesababisha mzozo ndani ya Hamas.

Abu Marzouq alikamatwa akiwa anaishi Marekani katika miaka ya 1990, akituhumiwa kuchangisha fedha kwa ajili ya kundi la wapiganaji la Hamas, na baada ya hapo alikuwa uhamishoni, hasa katika nchi za Jordan, Misri na Qatar.

Wakati wowote nafasi ya mkuu wa ofisi ya kisiasa ya harakati hiyo ilipokuwa wazi, jina la Abu Marzouq liliwasilishwa kama mtu ambaye angeweza kujaza wadhfa huo.

Shafiq Al-Taluli anaamini kuwa uchaguzi katika hatua ya sasa ni mgumu sana kutokana na shinikizo dhidi ya Israel na harakati hiyo, haja ya kurejesha uwiano wake wa ndani na nje, na jambo lingine ni kuhakikisha kuwa uhusiano kati ya uongozi wa nje na jeshi na uongozi wa kisiasa huko Gaza uko karibu sana.

Khalil al-Hayya pia anaonekana kama mgombea wa nafasi hii. Kwa sasa anaishi Qatar, ameongoza ujumbe wa vuguvugu hilo kwenye mazungumzo na Israel, na ana uhusiano mzuri wa kigeni.

Al-Hayya pia anachukuliwa kuwa "waziri wa mambo ya nje" wa Hamas, kwani ndiye anayehusika na uhusiano wa kitaifa na kimataifa wa harakati hiyo.

Al-Hayya, naibu kiongozi wa vuguvugu la Gaza, anajulikana kuwa karibu na Yahya Sinwar, ambaye Israel inamtuhumu kwa kupanga shambulio la Oktoba 7.

Al-Hayya aliongoza Hamas katika Baraza la Kutunga Sheria mwaka 2006, baada ya harakati hiyo kushinda uchaguzi uliopita wa Wapalestina tangu wakati huo.

Al-Hayya pia anajulikana kama mmoja wa waungaji mkono mashuhuri wa mapambano ya silaha kukomesha "uvamizi wa Israel" katika ardhi ya Palestina.

Al-Hayya amenusurika majaribio kadhaa ya mauaji, haswa mnamo 2007, wakati nyumba yake kaskazini mwa Ukanda wa Gaza ilipolengwa na watu wengi wa familia yake kuuawa.

Mrengo wa kijeshi wa Hamas na viongozi wake huko Gaza wana nafasi muhimu katika kuongoza harakati na kuamua sera zake, pamoja na kuchagua ofisi na baraza lake la kisiasa.

Katika hali ya sasa, kutokana na vita ambavyo vuguvugu hilo linaongoza huko Gaza, uongozi wa kisiasa na kijeshi wa ukanda huo pia utakuwa na nafasi muhimu katika kuchagua mtu anayefuata, kwa mujibu wa Dk.Taluli.

Al-Taluli alisema kuwa kutokana na ripoti za kuuawa kwa Mohammed Deif, mkuu wa tawi la kijeshi la Hamas, na viongozi mashuhuri wa kijeshi kama vile Ayman Nofal na Marwan Issa, Sinwar ana nafasi kubwa katika maamuzi ya kijeshi na atakuwa na wajibu mkubwa katika kuchagua kiongozi mpya wa harakati ya kigeni.

Ingawa maamuzi ya kisiasa mara nyingi huchukuliwa na ofisi ya kisiasa nje ya nchi, utekelezaji wake nchini unahitaji idhini ya tawi la kijeshi na mkuu wa harakati nchini.

Chanzo kikuu cha vuguvugu la Hamas kilizungumza na BBC Arabic, kikisema kuwa vuguvugu hilo lina wasi wasi kuhusu tangazo la mkuu wa ofisi yake mpya ya kisiasa, "kwa hofu ya kulengwa".

Chanzo hiki kiliiambia BBC Arabic kwamba baada ya kuuawa kwa Haniyeh, hakuna mahali salama pa kwenda, lakini pia alikanusha kuwa harakati hiyo ilikuwa "ikifanya kazi ya siri" baada ya kuuawa kwa Haniyeh. Kilisema Baraza la Shura lipo, na harakati za ndani na nje hazitasimama hadi vita vikomeshwe".

Chanzo hicho kilisema mkuu wa ofisi hiyo ya kisiasa anaweza kuchaguliwa kutoka miongoni mwa wajumbe wa Baraza la Shura, au ofisi ya kisiasa, "na huenda jina lake likahifadhiwa kwa sasa, kwa sababu vuguvugu hilo halitaki mauaji mengine ya viongozi wake kama ilivyofanyika na al-Rantisi," ambaye aliuawa mwezi mmoja baada ya kushika nafasi hiyo, akimrithi Ahmed Yassin aliyeuawa Machi 2004.

Chanzo hicho kiliiambia BBC Arabic kwamba uchaguzi "huenda ukafanyika baada ya kusitishwa kwa mapigano na kusainiwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano na Israel ambayo yana dhamana ya kimataifa na kikanda na hayalengi viongozi wa vuguvugu, haswa walio nje."

Nafasi ya mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas ndio muhimu zaidi katika muundo wa shirika hilo, hivyo kuwa wazi kwa muda mrefu itaibua maswali, haswa kwa kuzingatia mazingira maalum ambayo Hamas iko hivi sasa, kwa mujibu wa Taluli.

Al-Taluli anaeleza kuwa Hamas lazima ifanye uamuzi wa dharura, kutatua hali hiyo, na kumtangaza kiongozi wao mpya ili kusonga mbele na mazungumzo na Israel na kufanyia kazi usitishaji vita.

1722848433737.jpeg

SOURCE: SWAHILI BBC
 
View attachment 3062085
SOURCE: SWAHILI BBC
Hivi sijui kama ana kifahamu anacho kilinganisha..... ujinga na umasikini una endelea liangamiza taifa
 
Ingawa chama cha Mbowe kimekosa mwelekeo ila hawana cha kujifunza kutoka kwa Magaidi. Mbowe hajafikia hiyo hatua ya kujifunza kutoka kwa Magaid. Acha kuwahusisha watanzania na magaidi.
 
Mkiristo wewe vipi? sema kwa waislam. useseme magaidi. wakiristo ndio wanaosema Hamas magaidi.

1722853801761.jpeg

Maelefu duniani wakiwamswalia kiongozi wa Hamas .
 
Ingawa chama cha Mbowe kimekosa mwelekeo ila hawana cha kujifunza kutoka kwa Magaidi. Mbowe hajafikia hiyo hatua ya kujifunza kutoka kwa Magaid. Acha kuwahusisha watanzania na magaidi.
wakiristo wa JF ndio wenye mtizamo kwamba Hamas ni magaidi
 
Mkuu ungependekeza kujifunza kwa wamasai ungekuwa sawa.

Tambua hata Hamas angekuwa katembea kimasai nchi angeshapata na wala vita Gaza isingekuwapo.

Kama day 1 Palestina 10,000/- wangekomaa kukabiliana hadi kifo ikibidi, mwisrael angekuwa Gaza leo?
 
Back
Top Bottom