sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Ninalia ninalia naililia Tanzania
Sifi Leo Nina lia Nina lia naililia Tanzania
Sifi Leo nampeleka kilio changu kwa umoja wa wanahabari Tanzania mnasubilia Nini kuungana na chadema kupinga kumteka na kuua mtu? Mpaka mtekwe nyinyi muuawe ndo mseme au mtoe tamko?
Najiuliza kwa habari za kusifu na kuabudi mnazo andika siku hizi nani atawateka?
Barile na wenzako jitokezeni tafadhali toeni tamko
Viongozi WA Dini nimesikia mzee Bagonza HUYU nje ya uongozi wa Dini Bado anatoka kabira linalo jitambua wengine wakina shekhe Ponda na wenzako mko kimnya mzee wa upako nimekusikia.
Soma Pia:
Nawauliza umoja wa madakitari kama akina ulimboka upo wapi?