N Nyari Senior Member Joined Dec 3, 2008 Posts 136 Reaction score 58 Apr 29, 2019 #1 Viongozi wetu wa Kiimani wa kikristo na kiislamu hawa Semi chochote kuhusu taarifa ya CAG
N ndayilagije JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 7,491 Reaction score 8,304 Apr 29, 2019 #2 Lakini si umesema mkuu!machoni pa Mungu tuko sawa ujue!
Bulaya001 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2018 Posts 5,987 Reaction score 6,682 Apr 30, 2019 #3 kuna watu hawajui hata CIG ni kitu gani...[emoji3]