Viongozi wa dini Kenya siyo wa kuaminika kabisa

Viongozi wa dini Kenya siyo wa kuaminika kabisa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wakati vijana wameingia mtaani waliitisha mkutano wakasema Rais Ruto asikilize hao vijana wanateseka wanahitaji ajira na mengineyo. Mh Ruto akagoma kusaini akaamua kuwasikiliza.

Hawakurudi kumpongeza Ruto waliitisha tena mkutano wakasisitiza akae nao, Ruto akaagiza anataka kuonana na viongozi wao, Wakajibu hawana viongozi gen z wao wanataka Ruto aondoke.

Mh Ruto akawajibu wasahau hilo na hayo makundi yanayoendelea atayamaliza kwakuwa wanaokutana kwa maandamano kuanzia sasa n wahuni na wezi hawezi vumilia

Leo hii wameitana tena wanaomba vijana waache kuandamana hahah wanaharibu mali za watu na makanisa

Kumbe hawakujua haya madhara ya maandamano yatawagusa pia waakaona ni rahisi

Sasa leo hiii madaktari wa kujitolea wamejitoa wameamua kuachana kabisa na kusaidia majeruhi

Wakati huo video inayoonesha askari akimtishia Daktari baada ya kupewa dose ya tear gas na alipoulizwa na daktari why me akaambiwa hapo hatujaanza kama unabaki endelea kuwepo hapa

Wahuni wa Raila Odinga sasa mjiandae na mazishi, ujinga Ruto hataki tena na tena.
 
  • Thanks
Reactions: RMC
RAILA AMEANZA KUJICHANGANYA MDA HUU KBC KWA KUDAI RUTO WAMEANZA KUINGIZA WAHUNI KWENYE MAKUNDI HAHAHA
 
Back
Top Bottom