Uchaguzi 2020 Viongozi wa Dini kukutana Jumatatu kuelezea mafanikio ya Serikali ya awamu ya tano

Uchaguzi 2020 Viongozi wa Dini kukutana Jumatatu kuelezea mafanikio ya Serikali ya awamu ya tano

Usiseme viongozi wa dini,

Sema watoza ushuru na natapeli yaliyojificha kwenye kivuli cha dini,
Kama huanini ,hutamuona askofu bau Padre,
Lini waliitisha mkutano na kuomba waachiwe mashekh wa uamsho?
 
Kwani wananchi hawaoni mpaka wao ndio wawaambie haya ni mambo ya kijinga sana...
Mafanikio hayajifichi wao waendelee na mambo yao waache kujikomba
 
Mafanikio gani wakati mtaani Wafanyakazi, Wakulima, Wanafunzi, Wafanyabiashara wote wanalia?

2485464_EbENcn5X0Aw70n1.jpg


 
Back
Top Bottom