GE2025 Viongozi wa Dini Mbulu waliombea Taifa Amani na Utulivu kabla ya Uchaguzi Mkuu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Viongozi wa dini mbalimbali wilayani Mbulu, mkoani Manyara, wamejitokeza kuliombea Taifa amani na utulivu, kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu, huku wakiwataka wananchi kujitokeza kupiga kura.

Soma: Mufti Mkuu awataka Watanzania kuhubiri na kulinda Amani

Your browser is not able to display this video.
 
Amani ipo tele nchini, watekaji ndio wanaoivuruga amani, sasa imekuwa ni nchi kutiwa taharuki kana kwamba haina amani. Hofu ya maandamano yasiyokuwepo inavumishwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…