Viongozi wa dini nchini wasingekuwa wategemezi wa sahani za watawala nchi ingeponywa

Viongozi wa dini nchini wasingekuwa wategemezi wa sahani za watawala nchi ingeponywa

Ekishusi

New Member
Joined
Jul 5, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Viongozi wa dini acheni kupenda fedha kutoka mifukoni mwa watawala, wenzenu wameshashtukiwa huko Kenya sasa vijana wameamua kujisimamia

Siku ikitokea madai na maandamano ya vijana nchini hamtakuwa na nguvu ya kukemea maana mmechagua kula makombo kwenye sahani za watawala.

Hizo warsha mnazoandaa na kuwakaribisha viongozi wa dini ili wawaahidi fedha mkishindana dhehebu kwa dhehebu kuhakikisha mnapata ugeni wa kiserikali makanisani na miskitini kwenu.

Pia, soma=> Askofu Bagonza: Kanisa likijenga Shule ama Hospitali halihojiwi na Serikali, lakini likihoji mbona dawa hakuna linaambiwa lisichanganye dini na siasa
 
Back
Top Bottom