Pumbavu.
Kwao kutumia mitandao ya kijamii vizuri ni kuandika habari za kuisifia CCM na mama yao samia.
Nje na hapo ni kuitumia vibaya mitandao ya kijamii.
CCM lazima muelewe kizazi hiki sio cha miaka ya 60.
Hata mkiifungia mitandao ya kijamii bado mtaendelea kupigwa spana mpaka akili zinyooke.