Viongozi wa Dini wamenikwaza sana! Rais Samia na Mamlaka zake zisikubali huo mtego

Mwacheni Rais afanye kazi zake
 
Mahakamani kwenyewe ukitiwa hatiani,unaulizwa na mahakama yenyewe kabla haijaamuwa adhabu ya kukupa unaulizwa kama unalakusema ili uweze kupunguziwa adhabu kwa huruma ya mahakama.

Itakuwa siye binadamu ambao tunajifahamu kuwa leo kwako kesho inaweza ikawa kwangu hata Magufuli mwenyewe aliyekuwa mbabe wa Tanzania enzi za uhai wake alisema kuwa yeye ni mfungwa mtarajiwa.

Viongozi wa dini wameshaona kuwa hii kesi ni ya kuchongwa,na njia pekee ya serekali kuondokana na aibu itakayotokea kama mahakama haitaingiliwa katika maamzi yake ni kuiondoa kesi kabla ya hukumu, pia kwa upande mwingine wanajaribu kuwanusuru watuhumiwa wasifungwe kwa kosa la kuchongwa.
 
Kifupi wewe ni mjinga, huwezi elewa mambo makubwa ndiyo maana unaumia bila sababu ya msingi. Hiyo mada siyo size yako so utaumia bure. Kaa pembeni na achia wenye uwezo washughulikie.
 
DPP akiondoa kesi ni sawa na Rais kwa sababu ni mteule wake, Kwani Masheikh wa uamusho walipoachiliwa mahakama iliingiliwa? Au utasema waliachiliwa na DPP? Waliachiliwa na DPP kateuliwa na nani? Katiba mpya inahitajika.
 
Kwani wale wa uamsho walioachiliwa sio kuingilia Uhuru wa mahakama !
 
Aidha hujui au unajifanya hujui. Serikali kupitia DCI ina mamlaka ya kufuta kesi yoyote ya jinai iliyo mbele ya mahakama wakati wowote na bila kutoa sababu. Mwenye serikali akimwambia mteule wake - DCI - kutekeleza amri ya kuondoa kesi mahakamani inakuwa kuingilia uhuru wa mahakama?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uko wapiii aseee nije tukwazike woteeee na natafuta makwazooioo
 
Ungejua kodi yetu inavyotafunwa na kina kidando misafara mizito ya magari ya magereza usingeshangazwa na kauli za viongozi wa dini wao wanazihurumia kodi zetu kwa kesi hiyo ya michongo
 

Unadhani hao viongozi wa dini hawajui kuwa mahakama sio huru nA ziNaINGiliwa na raiS?
 
Wanataka kesi iendelee waendelee kula michango hasa Maria na Martini
 
Mjinga mmoja.

Nikuambie tu sasa hyo ni mipango ya ikulu kufanya hivyo. Na soon ataachiwa ila ilikua lazima itumike mbinu hii kuonyesha kwamba mama amesikia ombi la viongozi wa dini na hatoshupaza shingo yake.
Kweli kwani kwa Zitto ilishindikana wakaona hakuna njia nyingine zaidi ya kuwatumia hawa ili kuonekana ndo wamemwombea.
Hili ni doa kubwa ambalo litasisi vuvugu kubwa ambalo halijawahi tokea hapa kwetu.
Hii wanataka kumtoa kabla Mzee wa Geita Mpoo yaani Lisu kwani yasije kuasisiwa mavuguvugu mawili kwa kesho Mbowe atakuwa huru
 
Umeandika mambo mengi Ila ni kinyesi tupu nyie sukumagang mlitaka nchi isitawalike kabisa sasa mnaona mipango yenu inavurugika.

Mbowe sio gaidi na hatutamuingiza mama kwenye mambo yenu maovu.
 
Mjinga mmoja.

Nikuambie tu sasa hyo ni mipango ya ikulu kufanya hivyo. Na soon ataachiwa ila ilikua lazima itumike mbinu hii kuonyesha kwamba mama amesikia ombi la viongozi wa dini na hatoshupaza shingo yake.
Mama alikurupuka sana kujibu ishu ya ugaidi wakati kesi ipo mahakamani na akalishwa maneno ya kishenzi na Ziro.

Yule mzee mshenzi sana nimeamini hata wahuni nao huzeeka
 
Usishangae. Viongozi wa dini wanatoa meseji kwa rais Samia kwamba yeye ndiye kambambikia kesi mhe Mbowe. Na hivyo aachane na huo ujinga (upumbavu).
Mbona mnasahau Mama alisema Mbowe hana adabu hilo ndilokosa hivyo ndio maana wenye akili wanamwomba asamehe kukosa adabu huko!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…