Viongozi wa Dini wamenikwaza sana! Rais Samia na Mamlaka zake zisikubali huo mtego

Mbowe mpinzani wa kweli? Pole sana
 
Mbona mnasahau Mama alisema Mbowe hana adabu hilo ndilokosa hivyo ndio maana wenye akili wanamwomba asamehe kukosa adabu huko!!
Na hana adabu kweli, haiwezekani Magufuli hata hajazikwa akaanza kumtukana na kuandaa makusanyiko ya katiba nchi nzima! Hata kama alikuwa na madhaifu yake lakini alistahili kupewa heshima zote za maziko kama mkuu wa nchi
 
Maza hata kama atamuachia Mbowe sasa kwa kujidai kufuata mapendekezo ya Viongozi wa dini bado hatutamuelewa. Mbowe hatakiwi kusamehewa bali anatakiwa kuachiwa bila masharti yeyote yale. Hao wote wanaojidai kumuombea msamaha Mbowe hata huko Mahabusu au mahakamani hatujawahi kuwaona. Sasa hiyo huruma yao kwa Mbowe inatoka wapi? Yaani wanaona huruma tu pale wanapokutana na Maza ... This is so funny!
 
Na hana adabu kweli, haiwezekani Magufuli hata hajazikwa akaanza kumtukana na kuandaa makusanyiko ya katiba nchi nzima! Hata kama alikuwa na madhaifu yake lakini alistahili kupewa heshima zote za maziko kama mkuu wa nchi
Kumpa heshima mtu mjinga ni kuunga mkono Ujinga wake. Hata Yesu alimzuia mtu mmoja asiende kumzika baba yake kwa kumwambia waache wafu wazike wafu wao. Heshima ya mtu hutokana na matendo yake mema aliyo yatenda akiwa hai.
 
Hakuna hiyo kitu inaitwa "Yesu", huyo mnayemwita "Yesu" alitengenezwa na waroma miaka 300 baada ya Yesu halisi kufariki ili kufanikisha malengo yao ya kisiasa, Yesu mwenyewe halisi alikuwa ni mvuvi flani hivi insignificant
 
Hujui lolote acha kuonesha Ujinga wako hadharani.
 
Hakuna hiyo kitu inaitwa "Yesu", huyo mnayemwita "Yesu" alitengenezwa na waroma miaka 300 baada ya Yesu halisi kufariki ili kufanikisha malengo yao ya kisiasa, Yesu mwenyewe halisi alikuwa ni mvuvi flani hivi insignificant
Mpumbavu amesema moyoni mwake, hakuna Mungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…