Viongozi wa dini wapongeza uzinduzi wa akaunti ya sadaka ya benki ya CRDB

Chukizo la uharibifu madhabahuni....

Nyumba ya Baba yangu siyo nyumba ya biashara...


Benki inawskilisha kaisari ama Mungu?
 
Swali langu tumtolee Mungu zaka kwani Mungu ndio aliumba pesa?

Halafu kwenye kipengele hiki watu wa dini huwa hawapingani ndio mjuwe dini ni biashara.
Kwenye usilama kuna watu ambao wameanishwa kupewa swadaqa hat usipo peleka msiktn, utapeleka msikitin ili iwe wepesi kuwafikia au kwaajili ya michango inayohusu msikt kama vile maji na umeme allah anasema kati suurat al tawba

إِنَّمَا الصَّدَقَاتُ لِلْفُقَرَاءِ وَالْمَسَاكِينِ وَالْعَامِلِينَ عَلَيْهَا وَالْمُؤَلَّفَةِ قُلُوبُهُمْ وَفِي الرِّقَابِ وَالْغَارِمِينَ وَفِي سَبِيلِ اللَّـهِ وَابْنِ السَّبِيلِ ۖ فَرِيضَةً مِّنَ اللَّـهِ ۗ وَاللَّـهُ عَلِيمٌ حَكِيمٌ﴿٦٠﴾

60. Hakika Zakaah ni kwa ajili ya mafakiri, na masikini, na wanaozitumikia, na wanaotiwa nguvu nyoyo zao (katika Uislamu) na kuwakomboa mateka, na wenye deni, na katika Njia ya Allaah, na msafiri (aliyeharibikiwa). Ni faradhi itokayo kwa Allaah. Na Allaah Ni Mjuzi wa yote, Mwenye Hikmah wa yote.[16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…