Viongozi wa Jeshi na Polisi wastaafu ruksa kujiunga na upinzani. Hii itasaida kupunguza wizi wa kura na haki maana nyie ndiye mlikuwa viongozi mnawasaidia kuiba kura.
Sasa mpo mtaani mnaona umuhimu wa katiba nzuri na haki kwa wananchi. Lakini mna jukumu kama raia sasa kuchangia kwenye demokrasia ya nchi yenu. Mlifikiri wanawapenda sasa wamewasahau.
Nendeni upinzani na jumuia tofauti za kudai haki na msikubali kufa mkiwa mnajutia mliofanya na kuwa walevi. Saidieni nchi nendeni kwenye vikao vya majadiliano ya kudai haki hii itasaidia nchi na itafanya udikteka ufikirie mara mbili
Hakuna sheria yoyote inawazuia kuwa wanasiasa na wana harakati. Acheni unyonge na kujifikirisha nyie ni wa chama fulani au lazima mle matapishi yenu