Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,396
- 4,080
Hakika KATIBA ya KENYA ni Moja ya KATIBA BORA sana AFRIKA.Upatikanaji wa Viongozi Wao ni wa UWAZI sana kila Mwananchi ANAJUA kwani Wananchi wanaruhusiwa Kutoa Taarifa zao kwa Vyombo MAALUM ikiwemo na Bunge.
Viongozi wateule Wanafika mbele ya Bunge kuhojiwa Maisha yao Elimu Biashara na Utajiri wao Tofauti kabisa na Hapa TANGANYIKA kwani hapa Tanganyika tunasikia Watu Wameteuliwa Kesho wanaapishwa na kuanza kazi.Kuna haja ya kuwa na KATIBA ya Aina hiyo ili kuwe na UWAZI wa Upatikanaji wa VIONGOZI.
Hayati Baba wa Taifa alikuwa na AZIMIO la ARUSHA lilikuwa na Baadhi ya Miiko kwa Viongozi lakini halikuwa na UWAZI kwa Wananchi Namna Viongozi Wanavyochujwa mpaka Kuapishwa.
Bado Wajanja WAKALIUA baada ya Kuona linawabana KIMASLAHI. Bw. Mudavadi amehojiwa na ameiambia KAMATI ya BUNGE kuwa ana UTAJIRI wa Sh.Bil.77 kwa Tanganyika Sio RAHISI kujua.
Naipongeza sana KATIBA BORA ya Kenya