Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Namsikia Lema akiwakoromea viongozi wa dini kwa maneno ya dhihaka na dharau kwa kuwa tu hawajahudhuria mkutano wa siasa, kana kwamba na wao ni wanasiasa au wanalazimika kufanya hivyo.
Wana hiyari ya kuja au kutokuja, wasipokuja hawana kosa na wakija pia hawana kosa, iweje wasipokuja uwaone wajinga?
CHADEMA sio dini ni chama cha siasa, wafanye siasa waachane na viongozi wa dini. Nimemsikia pia kiongozi Mmoja wa chama tawala akisema ni kosa kwa viongozi wa dini kuhudhuria mikutano ya siasa jambo ambalo sio kweli.
Hakuna kosa lolote viongozi wa dini kuhudhuria mikutano ya siasa ni ulevi tu wa madaraka unaowafanya wajisahau.
Poleni viongozi wa dini, maneno ya Lema ni kashfa kwetu sote.