Pre GE2025 Viongozi wa kiume kushona sare ya kitaifa ya siku ya wanawake ni sababu ya uchawa?

Pre GE2025 Viongozi wa kiume kushona sare ya kitaifa ya siku ya wanawake ni sababu ya uchawa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kama mnavyojua leo ni siku ya wanawake duniani na huko mitandaoni nimeona baadhi ya viongozi wa CCM wamevaa mavitenge yenye picha za Rais Samia.

Vitenge kama mnavyojua ni fabrics za wanawake. Nyie wana CCM wanaume ambao mmmeshonesha mashati ya vitenge mnataka mtutumie ujumbe gani?


Ni uchawa, kutaka kuchukua spotlights za wanawake au mnataka tuseme ya rohoni tu?



IMG_0626.jpeg



IMG_0628.jpeg
 
Back
Top Bottom