KERO Viongozi wa Newala rekebisheni choo cha stand ya mabasi

KERO Viongozi wa Newala rekebisheni choo cha stand ya mabasi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Godee jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,836
Reaction score
2,536
Tafadhali sana naomba mrekebishe hicho choo.

Ni aibu sana kuwa ja choo kama hicho.

Nilijuta kuingia aisee. Ni choo cha shimo na mmeweka sink. Sink limevunjika na choo ni kimejaa so mzigo wote unaonekana.

Cha ajabu ni kuwa mnapokea hela na kuruhusu watu kuingia.

Nilijuta kuingia mle ndani na haja yote ilikata.
 
Back
Top Bottom