Malalamiko ni mengi kwenye mchakato wa uchaguzi kuanzi maandalizi hadi uchaguzi wenyewe. Kila mahali ni malalamiko tu kuwa kulikuwa na ukiukaji na wizi wa kura.
Je, Viongozi wa Serikali za Mitaa waliopatikana kwenye Uchaguzi wenye vurugu mbalimbali inafaa kuwapa ushirikiano katka Uongozi wao?
Kama wananchi wanajua kabisa hawajawachagua je kuna haja ya kutengana nao? Kwanini hayo mambo ya 2019 yamejirudia ni kwamba wananchi wanadharauliwa?
Viongozi waliopo madarakani wamekuwa wakiongea mambo ambayo unaona kabisa si kweli na ni kufurahisha wasikilizaji tu.
Kuna haja ya kuweka mstari na kukataa mambo haya bila kutetereka?