Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ndio Habari mpya kwa siku ya leo, kwamba vijana hao wamependekeza awanafunzi wenzao wanaochaguliwa kuwa Viongozi wa Serikali za Wanafunzi wawe wanalipwa mishahara na serikali, (Yaani Wale Marais wa vyuo na mawaziri wao)
=========
Viongozi wa Serikali ya Wanafunzi kwenye vyuo vya kati na vyuo vikuu wameomba serikali kuwalipa mishahara kila mwezi pamoja na kuanzishwa kwa mfumo utakaowawezesha vijana kupata ajira baada ya kuhitimu vyuo.
Soma Pia: Sheikh Ibrahim Bombo: Serikali ianzishe utaratibu wa kulipa mishahara kwa Viongozi mbalimbali wa Dini kutokana na kazi nzuri wanayoifanya