Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
😆😆😆😆Wawe wanalipwa mishahara, wajifunze wizi na ubadhirifu angali wako mzizinii, je wakifikia Majanini, itakuajeee? Lol
Wanataka kusoma au Pesaa? Mxxxxxxiiiiiiieeeeew zao. Lol
Kwa hiyo,kwa ufupi vijana wanahitaji kupatiwa ruzuku kama wale wanufaika walengwa wa kaya masikini za TASAF?Boom haziwatoshi.Hii yote ni sababu ya ukosefu wa ajira, ni janga zito sana na halichukuliwi kwa uzito wake unaostahili.
Vijana wanajitafutia ajira kwa mlango wa nyumaKwa hiyo,kwa ufupi vijana wanahitaji kupatiwa ruzuku kama wale wanufaika walengwa wa kaya masikini za TASAF?Boom haziwatoshi.
Vioja haviishi? Hizo hela za mishaara zitatoka mfuko upi? Na hao ndio viongozi wa kesho?My take.
Hii ndio Habari mpya kwa siku ya leo, kwamba vijana hao wamependekeza awanafunzi wenzao wanaochaguliwa kuwa Viongozi wa Serikali za Wanafunzi wawe wanalipwa mishahara na serikali, (Yaani Wale Marais wa vyuo na mawaziri wao)
=========
Viongozi wa Serikali ya Wanafunzi kwenye vyuo vya kati na vyuo vikuu wameomba serikali kuwalipa mishahara kila mwezi pamoja na kuanzishwa kwa mfumo utakaowawezesha vijana kupata ajira baada ya kuhitimu vyuo.
Ukata mgumu, kila Kona, kila mtu mpaka watoto ni majambazi,My take.
Hii ndio Habari mpya kwa siku ya leo, kwamba vijana hao wamependekeza awanafunzi wenzao wanaochaguliwa kuwa Viongozi wa Serikali za Wanafunzi wawe wanalipwa mishahara na serikali, (Yaani Wale Marais wa vyuo na mawaziri wao)
=========
Viongozi wa Serikali ya Wanafunzi kwenye vyuo vya kati na vyuo vikuu wameomba serikali kuwalipa mishahara kila mwezi pamoja na kuanzishwa kwa mfumo utakaowawezesha vijana kupata ajira baada ya kuhitimu vyuo.
Upumbavu mtupuMy take.

Soma Pia: Sheikh Ibrahim Bombo: Serikali ianzishe utaratibu wa kulipa mishahara kwa Viongozi mbalimbali wa Dini kutokana na kazi nzuri wanayoifanya