Viongozi wa Siasa wa Tz tukikagua hatuwakosi kweli?

Viongozi wa Siasa wa Tz tukikagua hatuwakosi kweli?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
juzi juzi I heard president wa Hungary Pal Schmitt ame resign sababu ya Plagiarism Scandals.
muungwana xana huyu. (not 100% sure)
sasa kwanini hapa kwetu nasie tisikague vyeti kuanzia m/kiti wa mtaa hadi J.K.?
wengine hawajaxoma wanazngua 2.
 
mi nikiona kuna kiongozi anasema kasoma mzumbe, vyuo vya nje ya nchi, au open university huwa najua ana cheti tu ila hajawahi hudhuria darasani, kufanya research,desertation au thesis ya aina yoyote zaidi ya kununua cheti tu. Kuna wengine mapo wizarani,ukiomba fedha za research wanalazimisha umuandike ni research fellow ili aonekane kuna kitu anafanya mmojawapo ni mponda..
 
Back
Top Bottom