Viongozi wa Simba andaaeni majibu sahihi kwa wadau

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Maswali yenyewe ni

1. Kwanini mlitangulia mbelw kwa pointi 8 kisha mkapitwa tena?
2. Kwanini mlifungwa na Kagera sugar? Maana mchezaji kuwa na kadi 3 haiwezi kuwa sababu ya kupoteza mechi.
3. Kwanini mliukosa ubingwa? Maana ligi ilikuwa na mechi nyingi sana sio ile moja tu dhidi ya Kagera Sugar
4. Kwenda FIFA ndio kinyago cha kuficha nyuso mbele ya mashabiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…