Beki inonga na sackho ni free agents.
Joyce Lomalisa ni replacement sahihi ya Zimbwe...
Ila Nilichogundua wachezaji wengi wanaocheza ligi za Afrika viwango vyao vinalingana-lingana tu........wote ni almost walewale........sema sie mashabiki tunapenda kulaumu....
Tukiambiwa tuonyeshe hao wachezaji wazuri walipo tunakosa majibu.
Valentino Nouma hapa ameonekana ameshindwa kum-challenge Zimbwe.
Valentino Nouma ni mchezaji wa timu ya taifa Burkina faso..
Wachezaji ambao ni very exceptional kama Feisal, Chama, Mayele ni wachache mno...
Wengi wameshakwenda kutafuta masilahi duniani.
Kwahiyo ni jukumu la technica bench ni kuja na mikakati ya kupika wachezaji wake hawa wa 'kawaida' na kuwageuza kuwa mastaa kama wafanyavyo wenzetu waarabu...
Huwezi kupewa nafasi ya kuanza kwenye first 11 wewe mchezaji mgeni pale Egyp au Morocco kama sio mchezaji mzuri beyond doubt.....tena ikibidi uwape 150% au 200% ya mchezaji wao mzawa.