Ni nyie washabiki mlikuwa mnapiga makelele kuwa hamumtaki Patrick Ausems (uchebe) leo mnamuone tena wathamani.Hakika niliamini baada ya Simba kuingia kwenye Uwekezaji uendeshwaji wake hautakuwa wa kienyeji wa kusikiliza majungu ya mitaani .Mpaka sasa sijajua sababu za msingi za kumfukuza yule kocha.Kocha aliyeipa Simba ubingwa wa Tanzania,Kocha aliyeifikisha Simba robo fainal Afrika mashindano magumu kabisa.Endapo Viongozi wa Simba mtaendelea kusikiliza Majungu na fitina za wasioitakia mema Simba basi mtawafukuza Makocha wa Dunia nzima.ANGALIZO,hawa makocha wasaidizi wazawa ,makocha wa makipa,makocha wa viungo wazawa ndio chanzo kikubwa cha kufukunzwa kwa Makocha wa kigeni wana majungu sana ili wao washike nafasi wakati uwezo mdogo.Mo Dewji kuwa makini la sivyo Uwekezaji utakushinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na tuliwapongeza wachezaji wakati wanatoka uwanjani kwa kupambana licha ya kuwa tumefungwa magoli matatuSisi Yanga tulifungwa 3 bila wala hatukuona ajabu sababu tunajua mpira ni dakika tisini na kuna kushinda,kufungwa na sare.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bado mtamkumbuka sana kwa uswahili wenu. Leo eti Ausems, Ausems. Wakati alipofungwa na Mwadui na kutoa sare na prisons mlilalama kutwa kucha mitandao eti hatumtaki uchebe hatumtaki uchebe.Manara sijui anajiaikiaje na ile press yake ya kijinga ya kimponda aussems kipenzi cha wanamsimbazi.
Ya simba yanakuhusu nini wewe ndala? Hatujazoea kufungwa sisi wa msimbazi. Kufungwa sio kawaida yetu hasa hapa tz.Na bado mtamkumbuka sana kwa uswahili wenu. Leo eti Ausems, Ausems. Wakati alipofungwa na Mwadui na kutoa sare na prisons mlilalama kutwa kucha mitandao eti hatumtaki uchebe hatumtaki uchebe.
Nyie mashabiki ndio watu wa kwanza kumfukuzisha kazi uchebe, walichofanya viongozi wenu kuhitimisha tu.
Leo mambo yanawaendea kombo mnawatupia lawama viongozi wenu mkijisahau nafasi yenu mliyoitumia kumfukisha kazi uchebe.
Acheni unafiki nyie mashabiki wa simba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaposema hamjoea kufungwa unamaana tokea simba imeanzishwa ni mwendo wa vikombe tu hakuna kikombe hata kimoja mlichokipotezaYa simba yanakuhusu nini wewe ndala? Hatujazoea kufungwa sisi wa msimbazi. Kufungwa sio kawaida yetu hasa hapa tz.
Narudia tena SIMBA HATUJAZOEA KUFUNGWA hasa hapa tz.Unaposema hamjoea kufungwa unamaana tokea simba imeanzishwa ni mwendo wa vikombe tu hakuna kikombe hata kimoja mlichokipoteza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kauli hii kweli simba ina mashabiki mbumbumbu.Narudia tena SIMBA HATUJAZOEA KUFUNGWA hasa hapa tz.
Ila inaongoza ligi kwa gepu kubwa tu.
Di matheo aliipa uefa 2012 Chelsea akafukuzwa baada ya wiki mbili
Yanga tunaujua mpira toka zamani. Kuwa bingwa mara 27 si bure.Na tuliwapongeza wachezaji wakati wanatoka uwanjani kwa kupambana licha ya kuwa tumefungwa magoli matatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika niliamini baada ya Simba kuingia kwenye Uwekezaji uendeshwaji wake hautakuwa wa kienyeji wa kusikiliza majungu ya mitaani.
Mpaka sasa sijajua sababu za msingi za kumfukuza yule kocha.Kocha aliyeipa Simba ubingwa wa Tanzania,Kocha aliyeifikisha Simba robo fainal Afrika mashindano magumu kabisa.
Endapo Viongozi wa Simba mtaendelea kusikiliza Majungu na fitina za wasioitakia mema Simba basi mtawafukuza Makocha wa Dunia nzima.
ANGALIZO,hawa makocha wasaidizi wazawa ,makocha wa makipa,makocha wa viungo wazawa ndio chanzo kikubwa cha kufukunzwa kwa Makocha wa kigeni wana majungu sana ili wao washike nafasi wakati uwezo mdogo.
Mo Dewji kuwa makini la sivyo Uwekezaji utakushinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
We nawe ni wale wale tu. Upeo wako unakuambia mfarakano umeanza mechi ya ya mwisho ya Polisi. Kumbukumbu zako hazikuambii kua games mbili kabla ya Polisi Simba ame struggle sana kupata ushindi.Tanzania ndio maana kila siku nawaambia mpira hautakaa uje kuendelea. Team imefungwa tu mechi moja tayari mfarakano wa hali ya juu kila mtu anaongea lake.
Kweli tuna upeo mdogo sana wa kupambanua mambo.
mkuu unamaanisha kuku aina ya kuchiTanzania hatuishiwi na maajabu. Dondoka mitaa ya msimbazi ukajionee mnyama simba anaongozwa na kuku kishingo
Kwani duniani kocha ni Uchebe tu, mbona makocha wengi tu wakibongo wanamzidi mbinu za mpira.Na bado mtamkumbuka sana kwa uswahili wenu. Leo eti Ausems, Ausems. Wakati alipofungwa na Mwadui na kutoa sare na prisons mlilalama kutwa kucha mitandao eti hatumtaki uchebe hatumtaki uchebe.
Nyie mashabiki ndio watu wa kwanza kumfukuzisha kazi uchebe, walichofanya viongozi wenu kuhitimisha tu.
Leo mambo yanawaendea kombo mnawatupia lawama viongozi wenu mkijisahau nafasi yenu mliyoitumia kumfukisha kazi uchebe.
Acheni unafiki nyie mashabiki wa simba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulimfukuza Uchebe kwa sababu viwango vya wachezaji vilishuka sana hasa Mkude, Chama, Dilunga, Wawa.We nawe ni wale wale tu. Upeo wako unakuambia mfarakano umeanza mechi ya ya mwisho ya Polisi. Kumbukumbu zako hazikuambii kua games mbili kabla ya Polisi Simba ame struggle sana kupata ushindi.
Chini ya Uchebe Kama sio halftime Basi kwenye dakika za 70-80 Mnyama anakua ashamaliza biashara, kilichobaki ni kucheza kusubiri dakika au kujazia ushindi.