Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
SSC mtagombana na makocha wote, makocha hawana Options, wachezaji wa SSC ni wamemaliza maajabu yao kwa asilimia kubwa na hakuna wachezaji wenye uwezo kwa kocha kufanya maajabu.
Hata mshinde vipi, SSC mnahitaji kufanya usajili wenye TIJA , hao wachezaji wengine kina Chama, Mikison, Kapombe, Bocco, Hussein, Manula, Kennedy, Mzamiru , wakat wao haupo tena ni wa kuondoa otherwise hakuna kocha atakaefaa SSC.
Tatizo kubwa la SSC ni hakuna wachezaji, na viongozi ambao ni vilaza hawakuwahi kuwa na long term plan za wachezaji for replacement matokeo yake karibia kikosi kizima kinatakiwa kubadilishwa which is impossible to do
That.
Kama mngekuwa na long term replacement plan msingefika hatua hii.
SSC msitibu kwa nje wakati ugonjwa upo ndani. Toeni ugonjwa ndani.
Achaneni mavikao yenu na kuunda mabaraza ya nini sijui, hayasaidii kitu, fanyeji Strategic usajili wa long term .
Kama mnashindwa nipeni U CEO, nina miaka 32 , I can be good CEO, nina management skills , nina exposure , hard working, smart and intelligent, competent, straightforward na sihitaji rushwa wala ten percent .
Signing zangu zitakuwa za kimkakati. Aidha, nina financial management skills and good analyst.
Fanyeni Sajili zenye tija. Achaneni na hao vibabu, hamtoboi na hao wachezaji. Ipo siku mtadundana na mtakamata sana wachezaji kwa shutuma; toeni hizo watu za muda mrefu.
You cannot solve problems kwa kutumia players kama kina chama na wengine ambao wamekuwa hapo for 5 years hadi wamebadilika na kuwa mamwinyi badala ya kuwa wachezJi.
Mpaka leo sina Jibu why mikison alirudi, why Chama alirudi, na kwa sasa wanafanya jipya gani? Kweli Afrika hakuna players young and smart and energetic wa kureplace hizo takataka.
Halaf niwapeni SIRI moja, mchezaji akishafika kwenye peak na mkamuuza kutokana na peak yake , basi ni mwiko kumrudisha tena kama angekuwa anafaa angeenda mbali zaidi, na mara nyingi huwa wakirudi they don’t deliver kama awali, haiwezekan akawa kama mwanzo ndio ipo ivo.
Mliona hata Ronaldo aliporudi Man U , waliishia kugombana tu. Badala yake mnatakiwa kutengeneza kipaji kipya mkiuze na sio kukomaa na wazee. Leo hii chama au mikison unamuuzia nani? Tumieni akili football is business .
It was one of the biggest mistake kumrudisha mikison na chama, that means uwezo wa kufikiri wa viongozi upo duni. Yaani mlidhan Ahly ni wajinga kumdrop mikison, mbona Percy hajaachwa?
Use your brain well !