babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Wanasimba wana haki yakujua kile kinachoendelea kuhusu timu yao, lakini kinachofanyika ni uhuni tu usiyokuwa na maana yoyote..
Tunatangaziwa Simba inacheza mechi za kirafiki na timu za madaraja ya chini. Mechi zinafanyika pasipo mashabiki na wala hakuna chombo chochote cha habari kinachorusha matangazo hayo ya moja kwa moja.
Baadae hao hao Simba wanajitokeza hadharani kweny Simba App na kutupa matokeo ya mechi wazizojifungia na kusema wameshinda, Hapo inafikirisha sana.
Haya mambo ya kujificha kisha baadae mnatoka hadharani na kusema mmeshinda hayana ukweli wowote.. Simba acheni kudanganya mashabiki wenu, uhakika wa matokeo mnayoyatoa unatokea wapi?
Mashabiki wa Simba amkeni mapema maana naiona aibu kubwa hapo mbeleni