Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Nafikiri tatizo kubwa la kwanza lililopo pale Simba ni uongozi. Viongozi wa Simba wengi pale waliopo ni wazee ambao wanaishi bado kizamani awataki kubadilika na kwenda na kasi ya mabadiliko yaliyopo Sasa hivi kwenye Kila kitu.
Viongozi wa Simba wengi wakina Magori, Try again na wengine bado wanadhani mbinu walizokuwa wanatumia miaka Ile kufanikisha mambo yao ndio izo izo watatumia Sasa hivi kufanikiwa.
Matokeo yake wanajikuta wanapuyanga kwenye Kila eneo wanalogusa! Mbinu na mikakati uwa inabadilika kulingana na wakati husika na sio kukariri maisha.
Engineer Hersi wakati anaingia Yanga alipata tabu mwanzoni kufanikiwa kwenye baadhi ya mambo lakini kutokana na kwamba ni kijana anayetamani mafanikio alikuwa anajifunza mambo mengi na akawa anabadilika Kila siku kitu kilichofanya awe kiongozi Bora mpaka Sasa lakini ilo silioni kwa viongozi wa Simba wanajiona ni wazoefu wa kutosha na awana la kujifunza zaidi akili zao zimestack azisogei mbele ata kwa mijeredi.
Matokeo yake ndio tunaona mambo yanavyokwenda ovyo ovyo pale kuanzia usajili, management, mpaka aina ya wachezaji wanaosajiliwa.
Wamemtambulisha Awesu Awesu pasipo kujiridhisha Kama walifata utaratibu sahihi na wanae mwanasheria matokeo yake imeonekana awakufata utaratibu na mchezaji karudishwa kwenye klabu yake Na Kama KMC wakikomaa wakawafungulia kesi nyingine ya kumrubuni na kumtambulisha mchezaji mwenye mkataba halali watakutana na kitu kizito.
Rudi kwenye suala la Lamek Lawi nae ni yale yale mambo ya ujanja ujanja, Valentino mashaka pia ni yale yale!
Angalia scouting yao ya wachezaji ni ovyo tu , ndio maana wakala mmoja wa kikongo aliwachana live kwamba Simba wanapoitaji mchezaji Kila kiongozi anapiga simu kuanzia magoli, Try again, mulamu nghambi, tajiri wao Mo, Sasa wanashindwa kuelewa wadili na nani tofauti na Yanga unawasiliana na mtu mmoja tu ambae ni Engineer Hersi full stop.
Sasa katika hao viongozi Kila mmoja anakuwa anataka 10% yake unadhani inakuwaje kwenye Hali Kama iyo?
Matokeo yake ndio mnaletewa kina ateba mechi 20 goli 1 na mnamuacha Elia Mpanzu mwenye current performance Bora zaidi.
Kwa stahili hii ninayoiona Simba, Engineer atawakarisha sana na wakija kushtuka Yanga itakuwa ishawaacha mbali sana.