Hapana Mkuu na acheni Kumuamini
KAGAMEE kwa kusema nimepewa Timu leo na kula Tsh Milioni 50 na kwamba sijui nimeishindwa Kazi.
Nikikabidhiwa Kitengo Yanga SC ataanza Kufungwa mfululizo na hamtoamini nyote kwani hakuna Mtu ninayezijua vyema Passwords za Yanga SC kama Mimi GENTAMYCINE na hata Ubingwa wanaoutaka na Kuuota hawatouchukua kamwe.