Viongozi wa Simba SC wana matatizo gani? Wengi washaingia jela

Ni kweli Hans Pope aliwahi kutumikia kifungo cha maisha ambapo alikaa gerezani kwa zaidi ya miaka 10 kwa kosa la uhaini kabla ya kupata msamaha wa Raisi, Rage naye ni kweli aliwahi kutumikia kifungo baada ya kuhukumikwa kwa makosa ya ubadhilifu akiwa Katibu Mkuu wa TFF, alitoka gerezani kwa msamaha wa Raisi, hata hivyo Rage aliendelea na mapambano dhidi ya hukumu iliyompeleka gerezani na mwishowe akashinda rufaa yake na hivyo kuhesabika kuwa hakuwa na hatia na hukumu iliyompeleka gerezani kuwa batili. Wambura sikumbuki na sidhani kama amewahi kama amewahi kuhukumiwa kifungo jela, ila amewahi kukumbana na vifungo vya uongozi wa mpira wa miguu. Yupo mwingine wa Simba Hassan Hassanol amewahi kukaa mahabusu muda mrefu sana kama miaka 3, lakini kwa sasa yupo nje kwa dhamana na kesi yake inaendelea kuunguruma.
 
wanagundu?
 
manara aliwahi kukaa lupango kwa utapeli wa magari
 
Chama la matapeli hilo. Hakuna namna nyingine ya kuelezea.
 
Sio mambo ya kuombeana ila Jela kuna nuksi flan hivi ukitoka kama ulikuwa upate dili la mia unaambulia kumi sijui kwa nini?
 
Mmoja ni Haini alitaka kumpindua nyerere, mwingne aiiba mipira Ya FAT, wengne pesa ya Opwi
 
Tofauti na hao wote yaliwatokea wakiwa nje ya Simba huyu wasasa 'rafiki wa Simba' yanatokea ndani ya Simba na fedha ya klabu toka ndani ya akaunti ya klabu.
 
Nkwabi yupo hatiani mo alifungwa kifungo cha nje
 
Nkwabi yupo hatiani mo alifungwa kifungo cha nje
Haji hakufungwa lakini almanusra. Alikuwa tapeli wa kuwauzia magari watu wa mikoani. Kijiwe chake kilikuwa Kariakoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…