Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Nawashauri viongozi wangu wa Simba, Yanga ni timu ya kawaida sana endapo ujanja wao wa nje ya uwanja mtaudhibiti, wao wanajifanya wamewekeza kwenye tarehe 4 lakini nataka niwaambie kuwa Utopolo walikuwepo uwanja wa Ndege wakati kikosi chetu kinashuka kikitokea Misri kwenye maandalizi.
Baadhi ya washirikina wao walikuwa wanachukua mchanga uliokuwa unakanyagwa na baadhi ya wachezaji wetu ili wakawafanyie ushirikina.
Utopolo ss hv wanatafuta kujua kambi yenu iko wapi, mazoezi mnafanya wapi, kazi hiyo wamempa msemaji wao aliyefunguliwa.Yeye hapo ndio anapoonekana umuhimu wake kwa sababu kuna watu ndani yetu wanampa michongo yote.
Hakikisheni kila hatua dua, kuelekea tarehe 8 tuhakikishe hakuna mjinga yoyote kwao anayejua siri zetu, mpeni kazi hiyo mzee Hassan Dalali, ushahidi unaonyesha kuwa hajawahi kufungwa na Yanga kizembe.
Mzee Dalali na Kajuna ndio mafia wa kweli katika Simba.
Tarehe 8 ndio watajua kama wana timu ama wana wastaafu.