Viongozi wa Simba tokeni maofisini mwenu tarehe 8 hatutawaelewa

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Derby ya Simba na Yanga ina tamaduni zake, wenzenu wanafukia mbuzi wazima wazima nyie mmekaa tu mnakula viyoyozi.

Nyie kaieni tu mkikenua kenua meno humo maofosini, tarehe 8 mechi tunaitaka, kama kuicheza hii mechi hamuwezi, muwapishe makonki wa Derby.

Ole wenu
 
Kaka yanga ina No 10 wafuatao.
1. Azizi ki.
2.Nzengeli.
3. Pakome.
4. Chama.
5. Mudadhiri. (Nabi)

Hizi ni top top top quality.
Kamuulize Rais wa wakati huo Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga alipeleza zaidi ya waganga 50 kombe la Dunia Germany 1974 na kufungwa kipigo kizoto zaidi cha muda wote 9-0.

Yugoslavia 9.
Zaire Congo 0.

Kikubwa ni quality mzee.
 
Lkn, Hii quality ilishindwa kutoboa Makundi CL ya CAF...! Ama kweli Football ni MAAJABU.....!

Next time kwenye Usajili you have to Consider age..!
 
Derby ya Simba na Yanga ina tamaduni zake, wenzenu wanafukia mbuzi wazima wazima nyie mmekaa tu mnakula viyoyozi.

Nyie kaieni tu mkikenua kenua meno humo maofosini, tarehe 8 mechi tunaitaka, kama kuicheza hii mechi hamuwezi, muwapishe makonki wa Derby.

Ole wenu
Mpira ni science ndiyo maana watu wanausomea darasan, hatupo dark ages tushatoka huko!
 
Derby ya Simba na Yanga ina tamaduni zake, wenzenu wanafukia mbuzi wazima wazima nyie mmekaa tu mnakula viyoyozi.

Nyie kaieni tu mkikenua kenua meno humo maofosini, tarehe 8 mechi tunaitaka, kama kuicheza hii mechi hamuwezi, muwapishe makonki wa Derby.

Ole wenu
Simba haiamini mambo ya ushirikina na uchawi. Ndio maana kuna mchungaji wa Simba. Wao waloge sisi tutanyamazisha uchawi katika Jina la Yesu Kristo na huo uchawi utawageukia wao.
 
Kaka yanga ina No 10 wafuatao.
1. Azizi ki.
2.Nzengeli.
3. Pakome.
4. Chama.
5. Mudadhiri. (Nabi)

Hizi ni top top top quality.
Kamuulize Rais wa wakati huo Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga alipeleza zaidi ya waganga 50 kombe la Dunia Germany 1974 na kufungwa kipigo kizoto zaidi cha muda wote 9-0.

Yugoslavia 9.
Zaire Congo 0.

Kikubwa ni quality mzee.
Kumroga Mzungu, tena kwenye ardhi yake unafikiri ni kazi ndogo? Nenda kule Tarime ukaulize mtiti uliokuwepo kwenye ujenzi wa daraja la Kirumi.

Ngozi nyeupe aliposumbuliwa sana naambo meusi ya Waafrika alirudi kwao kuweka mambo sawa, na aliporudi Tarime ujenzi ulikuwa umekwama ukaendelea hadi daraja likakamilika.
 
Daraja la Kirumi a.k.a Mto Mara halipo Tarime umetupiga kamba...
 
Mwambieni Ahmed Ally aache kuongea wiki nzima hii hadi derby ipite. Hii mechi haihitaji majigambo. Nitafurahi sana Simba tukipiga kimya hii wiki nzima.
 
Back
Top Bottom