Viongozi wa simba tumewachoka!

Umeumizwa na begi? ulitaka waziweke kwenye mfuko wa rambo? au shangazi kaja?
 
Binafsi nawapongeza sana Simba wanavyoenda, kuna litimu huko mashabiki wao mpaka Sasa haelewi hatma ya timu yao kutokana na migomo ya chinichini inayoendelea kwa baadhi ya wachezaji huku wengine wakisepa mchana kweupe.
 
Hahahahaha!! Na wao wamewachoka wanachama wasio na KADI na kuzilipia uanachama wao.
 
Write your reply...Hawa walibebwa na manara siyo huyu aliepo maana siyo mbunifu yaani hata huyu dogo wa yanga anamkimbiza mbali tu. Mara kaspika kitambo tu, mlima kilimanjaro kitambo tu, ikulu kitambo tu kazi kwenu makolo
 
Umeumizwa na begi? ulitaka waziweke kwenye mfuko wa rambo? au shangazi kaja?
hazina ubora wa kuweka kwenye begi bora wangeweka kwenye shangazi kaja ingependeza zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…