PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 392
- 798
Mkuu unajua maana ya ishara! Hata mwenge wa uhuru uliwekwa kileleni mwa mlima Kilimanjaro ili kuangaza Tanzania nzima, jee ni kweli umeangaza! Huko sengerema kwenu mmeuona huo mwanga! Acha udaku basi!Hivi ni vichekesho sasa, hiyo jezi hata aliyepo Moshi mjini hawezi kuiona huko mlimani ndio sembuse Africa nzima.
Hizi club za kariakoo zimeshaanza kuharibu watu kama zilivyofanikiwa dini za Ukristo na uislamu kuwafanya watu kuwa mazezeta.
Muwe mnatumia akili zenu siyo kumezeshwa kila ujinga.
Sasa Nyerere si ndio alikuwa master wa propaganda?Mkuu unajua maana ya ishara! Hata mwenge wa uhuru uliwekwa kileleni mwa mlima Kilimanjaro ili kuangaza Tanzania nzima, jee ni kweli umeangaza! Huko sengerema kwenu mmeuona huo mwanga! Acha udaku basi!
Mugambo wanaruka na kukanyagana.Tulia Simba inatangaza utalii wa ndani na nje kupitia jezi ya Simba michuano ya CAF"Visit Tanzania",kama utaki pita hivi.
Huo ni ushamba! Mnajipendekeza kwa watu ambao hawana habari na nyie!Tulia Simba inatangaza utalii wa ndani na nje kupitia jezi ya Simba michuano ya CAF"Visit Tanzania",kama utaki pita hivi.
Hee sawa acha iwe ushamba,kula buyu basi babuu.Huo ni ushamba! Mnajipendekeza kwa watu ambao hawana habari na nyie!
Africa nzima itaonaMakolo kwa mbwembwe, kwa hiyo mkiipeleka kule juu kabisa Afrika yote tutaomba matambara yenu?
Kweli makolo hamuishi vituko.
Wala sio propaganda,huo mwenge una mambo yake huo,mambo ya kichawi chawi ndo mana upo tu miaka yote.Sasa Nyerere si ndio alikuwa master wa propaganda?