Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Jana tarehe 3/8/2024 ilikuwa ni siku ya Simba day. Ni siku ya pekee kwa wapenzi wa Simba katika kutambulisha wachezaji wapya, bench la ufundi, jezi n.k.
Tunajuwa viongozi siku zote wanakuwa mfano, ila hapo unyamani kuna baadhi ya viongozi hawosomeki sijuwi ni hawataki kuonyesha utambulisho wao au kuna yanayoendelea nyuma ya pazia.
Hapa nitamzungumzia "JARIBU TENA". Simba day ni sikukuu, ni sherehe, ni tamasha, ni burudani lakini mwenzetu mbona havai jezi za Simba? Kama Jana amevaa kanzu. Kama hapendi jezi za Simba basi avae za Yanga.