Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Sasa kwann wanasapoti timu yao kuwa sponsored na kamari?Kiukweli sababu ya msingi viongozi wa Simba tutokuvaa jezi zao ni mdhamini wao mkuu ambaye ni M-BET, hii ni kampuni ya kamari, kwa muislam safi kama Try Again / Mangungu/Dalali inakuwa ngumu sana kuvaa jezi zinazofanya promotion ya kamari na wakati dini ya kiislam ili jambo iliweka clear kabisa kama kamari ni HARAMU.
Ukivaa jezi manake unapingana na maandiko moja kwa moja.
SImba ni timu ya wanachama wenye dini mchanganiko, ni ngumu kuleta hoja ya dini na wakati huna option ya mdhamini atakayeleta mpunga mrefu,hizi betting ndio kampuni zenye pesa ndefu.Sasa kwann wanasapoti timu yao kuwa sponsored na kamari?
Hata kushabikia tu timu ya mpira ni haramu, bila kujali inavaa jezi ganiKiukweli sababu ya msingi viongozi wa Simba tutokuvaa jezi zao ni mdhamini wao mkuu ambaye ni M-BET, hii ni kampuni ya kamari, kwa muislam safi kama Try Again / Mangungu/Dalali inakuwa ngumu sana kuvaa jezi zinazofanya promotion ya kamari na wakati dini ya kiislam ili jambo iliweka clear kabisa kama kamari ni HARAMU.
Ukivaa jezi manake unapingana na maandiko moja kwa moja.
Siku Yanga anakabidhiwa Kombe msimu uliopita, Rais Eng. Hersi alivaa jezi ya Yanga?Jana tarehe 3/8/2024 ilikuwa ni siku ya Simba day. Ni siku ya pekee kwa wapenzi wa Simba katika kutambulisha wachezaji wapya, bench la ufundi, jezi n.k.
Tunajuwa viongozi siku zote wanakuwa mfano, ila hapo unyamani kuna baadhi ya viongozi hawosomeki sijuwi ni hawataki kuonyesha utambulisho wao au kuna yanayoendelea nyuma ya pazia.
Hapa nitamzungumzia "JARIBU TENA". Simba day ni sikukuu, ni sherehe, ni tamasha, ni burudani lakini mwenzetu mbona havai jezi za Simba? Kama Jana amevaa kanzu. Kama hapendi jezi za Simba basi avae za Yanga.
Sasa si wajiuzulu tu?SImba ni timu ya wanachama wenye dini mchanganiko, ni ngumu kuleta hoja ya dini na wakati huna option ya mdhamini atakayeleta mpunga mrefu,hizi betting ndio kampuni zenye pesa ndefu.
Unafahamu kama bakhresa kuna mashindano alikataa kuipeleka azam kwasabbu sponsor alikuwa kampuni ya pombe??
Sa si wakafanye kazi huko kusiko ruhusu kubeti, ila fedha zitokanazo na wazamini wa bet zinalika siyo dhambi?Kiukweli sababu ya msingi viongozi wa Simba tutokuvaa jezi zao ni mdhamini wao mkuu ambaye ni M-BET, hii ni kampuni ya kamari, kwa muislam safi kama Try Again / Mangungu/Dalali inakuwa ngumu sana kuvaa jezi zinazofanya promotion ya kamari na wakati dini ya kiislam ili jambo iliweka clear kabisa kama kamari ni HARAMU.
Ukivaa jezi manake unapingana na maandiko moja kwa moja.