Timu kubwa kama Simba ambayo inafahamika dunia nzima haiwezi kuwa na watu wa hovyo hovyo na duni kama huyu kijana , huyu kwanza ana kashfa zisizo na idadi za kupiga picha za aibu na kuzisokomeza mtandaoni bila haya wala aibu ( Haifahamiki kama ana wazazi au la )
Huwezi kuwa na Mhamasishaji wa timu duni kama huyu ambaye hajui mpira , Hii timu ina wanachama na mashabiki wazito sana , kuanzia serikalini hadi kwenye vyama vya siasa , sasa kwa Mtembea uchi kama huyu anayejinadi kumpa kazi ndani ya Simba , ni sawa na kutukana wana Simba .
Waliompa kazi hii wanamjua vizuri sana tabia zake za kishenzi za mapicha ya utupu mitandaoni , ni lazima wawajibike , vinginevyo tutawatimua kabla hawajatudhalilisha zaidi .
Mtani hiyo ndiyo hasira yako ya kuchabangwa 3 na Galaxy?!! π€£
Ya kwamba ni huyo Mwijaku ndiye aliyemzuia SERGE PASCHAL WAWA kutojihini kujipanga vyema na kuruka kuuzuia ule mpira wa kurusha?!!!
Ya kwamba ni huyu Mwijaku aliyemfanya Shomari Kapombe kutofanya "tackling" na kukaba kwa macho kabla ya ule MKROSI wa maana uliotua bichwani mwa yule aliyevua bukta kwa Furaha na tukauona "mch..pi" wake mweusi?!!!!