Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Beki Lameck Lawi ni beki mzuri lakini sio wa kumgombea, acheni utoto mliopewa kazi ya kusajili.
Lawi ni difenda wa kawaida sana, Lawi hafiki hata robo ya Ibrahim Bacca.
Lawi hafiki hata nusu ya Bakary Nondo Mwamnyeto.
Hata kwa Kennedy, Lawi hamzidi kitu difenda huyo.
Lawi hana tofauti na Hussein Kaze.
Kinachomfanya mujidhalilidhe kwa kugombana na Coastal ni nini? Urefu wake? Wembamba wake? Lawi ana nini?
Tafuteni madifenda wengine, nyie wakubwa sana, kugombea mchezaji na Coastal ni mnajishusha sana wazee wangu, sana tena.
Simba kwa level mliyofikia ingawa mmeshajishusha sana kwa uongozi wa Try again haipaswi kufikiria wachezaji aina ya Lawi.Simba inatakiwa ku think big.
Kama hakuna madifenda msione haya kumrudisha Kennedy au tafuteni wachezaji wengine, msimu mzima huu hamkuona mabeki wa kati hadi mnalia lia na Coastal, come on.